Maandamano au vurugu?

Maandamano au vurugu?

Asili yetu watanzania ni unafki
Mwizi na kibaka wakiiba mtaani wanawauwa kikatiri sana ila kwenye wizi na uporaji wa tarehe 29 wanaona sawa kilichotendeka.
Ibaki kuwa pol walikosea pia raia walikosea
Kilichobaki kama wa tz kusameheana na kusonga mbele Mungu ndo mtoa hukumu kwenye hili nimemaliza babaenu kida .
 
Kama umebandika mapicha ya samuya njee ya duka lako ulitakaje wakuache hujui hayo mapicha yanatia hasira.
 
Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
Material things hata zikipotea zinatafutwa tena, vipi kuhusu waliotekwa wakapotea jumla na waliouawa? Hakuna mali inayoweza kulinganishwa na thamani ya binadamu, utu above everything.
Hasira za vijana ni matokeo tu ya yale yaliyonachemka ndani ya mioyo yao, raia wameteswa na kuogopeshwa kwa muda mrefu so the repercussions were inevitable.
 
Kwahiyo na vikosi vya CCM nawao wakisema na wao walipata hasira baada ya kuwaona vijana wa chadema barabarani na wao wapo sahihi?
 
Material things hata zikipotea zinatafutwa tena, vipi kuhusu waliotekwa wakapotea jumla na waliouawa? Hakuna mali inayoweza kulinganishwa na thamani ya binadamu, utu above everything.
Hasira za vijana ni matokeo tu ya yale yaliyonachemka ndani ya mioyo yao, raia wameteswa na kuogopeshwa kwa muda mrefu so the repercussions were inevitable.

kwahiyo kila mwenye hasira ameruhusika kufanya anachojiskia?
 
Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu

Hopeless
 
Gen Z wakiona utopolo huu watakupiga mande bila mate
 
kwanini munapenda kujitetea kwa uhuni muliofanya?
Kijana ujue fika watu tumefiwa na ndugu zetu halafu wewe unadiriki kusema ni uhuni, huenda huijui sheria ni kosa kwa mtu wa aina yoyote ile polisi au raia wa kawaida kuuwa mtu mwingine bila hukumu ya mahakama vinginevyo muuaji anakuwa ametenda kosa, kumuua mtu eti kisa ameiba hiyo siyo haki ndio maana hata mharifu akikimbia huwa anapigwa risas mguuni na si kichwani, na endapo utasikia mharifu ameuwa na polisi basi ujue ilikuwa ni katika makabiriano ya risas kwa risas na si risas kwa mikono au lungu, sasa je ndugu zetu pamoja na kuiba je walikuwa na siraha za moto, na vipi kuhusu watu waliouawa wakiwa majumbani mwao achilia mbali watoto wadogo wasio na hatia yoyote ile!
 
Ilikua fujo.
Siku hiyo kulikua na makundi mawili waandamanaji na wizi.

Kwa waandamanaji nao walijikuta wakifata upepo wa wizi na kubomoa maduka na kubeba mali za watu kisha kuchoma duka.

Na ndipo jeshi lilipoamua kuwasaliti wananchi lilipoona vile.

Sema ukweli walikosea kuchoma hadi miundo mbinu ambayo niya umma. Sasa mtu anachoma hadi shule anahakili kwel?

Hata vituo vya mafuta tu hawakupaswa kuchoma huenda wachomaj hawatumii vyombo vya moto.
Mfano tumeuona tu mafuta kwa lita tulijikuta tunanunua elf10 tena kwa mbinde kuyapata.

Jeshi la JWTZ liliomba tubebe mabango na kuingia road kwa aman kuelekea kwa wahusika.
kumbe watu walilenga faida tena na jesh likajikataa mapema.

R.I.P kwa wote walio uawa siku hyo na pole kwa family zao zote, hapo pia police walikosea kupiga raia kama wapo vitan
 
Material things hata zikipotea zinatafutwa tena, vipi kuhusu waliotekwa wakapotea jumla na waliouawa? Hakuna mali inayoweza kulinganishwa na thamani ya binadamu, utu above everything.
Hasira za vijana ni matokeo tu ya yale yaliyonachemka ndani ya mioyo yao, raia wameteswa na kuogopeshwa kwa muda mrefu so the repercussions were inevitable.
hahahahaha kwa hyo wataka kusema hasira za vijana zimewafanya wavunje maduka na kubeba had nguo na viatu
 
Kijana ujue fika watu tumefiwa na ndugu zetu halafu wewe unadiriki kusema ni uhuni, huenda huijui sheria ni kosa kwa mtu wa aina yoyote ile polisi au raia wa kawaida kuuwa mtu mwingine bila hukumu ya mahakama vinginevyo muuaji anakuwa ametenda kosa, kumuua mtu eti kisa ameiba hiyo siyo haki ndio maana hata mharifu akikimbia huwa anapigwa risas mguuni na si kichwani, na endapo utasikia mharifu ameuwa na polisi basi ujue ilikuwa ni katika makabiriano ya risas kwa risas na si risas kwa mikono au lungu, sasa je ndugu zetu pamoja na kuiba je walikuwa na siraha za moto, na vipi kuhusu watu waliouawa wakiwa majumbani mwao achilia mbali watoto wadogo wasio na hatia yoyote ile!

waliopiga risasi ni polisi, mapamabani yenu na polisi ni yenu nyinyi. mkiua polisi au kuchoma moto vituo vyao yote tutaelewa kuwa mupo kwa mapambano nao.

Kwanini munaharibu mali za watu wa kawaida? kwanini hilo swali hamulitaki ? munataka ku justify uhuni wenu ?
 
Hawa binadamu wanafiki sana.
Wamechoma maduka hadi ya kina shilole,choma sheli,iba mitungi ya gesi vituo vya mwendokasi. Choma
Wanarudiwa wanalialia tena.
Sijui ni binadamu gani hawa.
 
wamepata walichostahili, sasa hivi wanalialia na kutafuta huruma
 
waliopiga risasi ni polisi, mapamabani yenu na polisi ni yenu nyinyi. mkiua polisi au kuchoma moto vituo vyao yote tutaelewa kuwa mupo kwa mapambano nao.

Kwanini munaharibu mali za watu wa kawaida? kwanini hilo swali hamulitaki ? munataka ku justify uhuni wenu ?
Hebu peleka huko mbali nami akiri yako mgando hiyo.
 
Asili yetu watanzania ni unafki
Mwizi na kibaka wakiiba mtaani wanawauwa kikatiri sana ila kwenye wizi na uporaji wa tarehe 29 wanaona sawa kilichotendeka.
Ibaki kuwa pol walikosea pia raia walikosea
Kilichobaki kama wa tz kusameheana na kusonga mbele Mungu ndo mtoa hukumu kwenye hili nimemaliza babaenu kida .
Inasikitisha sana, mafisadi, wala rushwa na wezi wa uchaguzi huwa wanapewa heshima na hadhi ya juu katika jamii wakati ni chanzo cha matatizo makubwa.
 
Back
Top Bottom