Maandamano au vurugu?

Maandamano au vurugu?

hahahahaha kwa hyo wataka kusema hasira za vijana zimewafanya wavunje maduka na kubeba had nguo na viatu
Exactly, inevitable aftermath. Hiyo hutokea hata nchi za dunia ya kwanza.
THE WRATH OF THE OPPRESSED, hayo huwa ndiyo majibu yake. Take it or leave it.
 
kwahiyo kila mwenye hasira ameruhusika kufanya anachojiskia?
Repercussions, unavoidable repercussions. First things first, mbona watekaji na wauaji mnataka kufanya wao ni wema sana au hizo biashara zina thamani zaidi ya uhai wa binadamu?
As far as the realities are it's you reap what you sow, ukipanda bangi tegemea kuvuna bangi.
 
Repercussions, unavoidable repercussions. First things first, mbona watekaji na wauaji mnataka kufanya wao ni wema sana au hizo biashara zina thamani zaidi ya uhai wa binadamu?
As far as the realities are it's you reap what you sow, ukipanda bangi tegemea kuvuna bangi.

ni wapi mimi nimesema watekaji na wauwaji ni wema? biashara za watu zina mahusiano gani na maandamano? Nyie jamaa vibaka wakubwa
 
Kuna video moja wanazoa nguo madukani kama zao yaani.

Wake kwa waume. Lol.
 
Hakuna maandano ni vibaka na wahuni waliamua kufanya operation ya kuiba na kuharibu mali za watu, walistahili kifo, ila tunasikitika kuna raia wema pia waliwawa kwasababu ya hao vibaka.
Pale unapooba kuuwa ndio silaha mliyobakiza, iko siku nanyi mtafikiwa na unyama huo na nitaomba msife haraka mtaabike sana wewe na ukoo wako wote, na pengine msufe mpate vilema vya kudumu ili muwe mnaona kuteka, kuumiza, kunyanyasa na hata kuua wenzenu siyo suluhu.

Miundo mbinu ni yetu sote siyo yenu, wala siyo sababu ya kumpa mtu hski ya kumuua mwenzake.
Wao walituibia kwenye Richmond, meremeta, escrow, fp wirld lakini hatukuwauwa, kwanini tuwauwe hao under 20 kwa kusingizio cha miundo mbinu?
 
ni wapi mimi nimesema watekaji na wauwaji ni wema? biashara za watu zina mahusiano gani na maandamano? Nyie jamaa vibaka wakubwa
Zina mahusiano makubwa mno unless if you're too stupid to see it, kama umeangalia mostly ilikuwa ni pattern ya either biashara za mafisadi, beneficiaries wa ufisadi, partners wa mafisadi(sharing investments) au chawa wa mafisadi hivyo basi uhusiano ulikuwa usio na shaka and the coming wave will be more intense.
 
Tuzungumze ukweli kuhusu kilichotokea ni maandamano au vurugu?
Walipovunja maduka yetu na kutupora hela ilikuwa ni sehemu ya maandamano au vurugu?
Kilichotokea nani alikuwa akiratibu na yeye alikuwa nasi road au?
Tupeane pole ila majeraha yake yatadumu kwa muda mrefu
Umeangalia maandamano ya france, maandamano ya 2011 egypt. Literaly kila maandamano yana somekind of uharibifu

Kuna watu within maandamano kazi yao ni kuharibu, imekuwa hivyo since the begening

Although sishangilii uharibifu wa mali
 
Back
Top Bottom