Maandamano ambayo hayajawahi tokea -Mwanza

Maandamano ambayo hayajawahi tokea -Mwanza

Salih

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
687
Reaction score
503
Nakumbuka baada ya mtafaruku kati ya Meya wa jiji la Mwanza(Bwana Matata) kutishia kumuua Mbunge wa Ilemela(Highness Kiwia) na Mbunge huyu kuitisha Maandamano ambayo yalipangwa kufanyika kama sikosei alhamisi iliyopita, ningeomba kuuliza haya maandamano yatafanyika lini?? maana nipo safarini kidogo kwahiyo sina data ila nategemea kurudi j'mosi Mwanza
 
nakumbuka baada ya mtafaruku kati ya meya wa jiji la mwanza(bwana matata) kutishia kumuua mbunge wa ilemela(highness kiwia) na mbunge huyu kuitisha maandamano ambayo yalipangwa kufanyika kama sikosei alhamisi iliyopita, ningeomba kuuliza haya maandamano yatafanyika lini?? Maana nipo safarini kidogo kwahiyo sina data ila nategemea kurudi j'mosi mwanza
pa-mba-fu!
 
hivi ronaldo bado tu hataki kuja manchester!

Nasikia yuko kwenye mazungumzo na uongozi wa Azam FC ili wamsajili, kama muafaka utafikiwa basi atatua nchini muda wowote.
 
Nasikia kodi ya simu inaongezwa eti ili kumpa sapoti muheshimiwa kwa kujenga airport ikulu
 
Hivi diamonde atatumbuiza wapi wikendi hii?napenda ile staili yake ya kushusha sarawili na kuachia mashabiki waburudike na masabu----
 
njaa inaniuma! Nimekumbuka na buku hapa mfukoni ngoja niende kwa mama ntilie nikale ubwabwa
 
Magwanda mnamatatizo mnakumbushwa halafu mnajifanya kupuuzia,hii inadhihirisha ni jinsi gani mtapuuza wananchi bahati mbaya mkipata serikali.
 
Walimu waliofeli wanailalamikia serikali kuwa ndio chanzo cha wao kufeli kwa kuruhusu bongo flavour kupigwa hadi usiku ktk maradio
 
Ngoja nipashe kipolo changu cha ugali, maana leo bila bila kabisa.
 
Back
Top Bottom