Maandamano ambayo hayajawahi tokea -Mwanza

Maandamano ambayo hayajawahi tokea -Mwanza

Nakumbuka baada ya mtafaruku kati ya Meya wa jiji la Mwanza(Bwana Matata) kutishia kumuua Mbunge wa Ilemela(Highness Kiwia) na Mbunge huyu kuitisha Maandamano ambayo yalipangwa kufanyika kama sikosei alhamisi iliyopita, ningeomba kuuliza haya maandamano yatafanyika lini?? maana nipo safarini kidogo kwahiyo sina data ila nategemea kurudi j'mosi Mwanza

0712752364 No ya Mbunge mpigie ndugu yangu tujue tujipange.
 
Back
Top Bottom