Maandalizi ya kutawala mpaka kifo yalikuwa mengi

Never and never again. Isitokee tena milele na tukaze buti, tufunge vibwebwe kudai katiba mpya

Nimesoma kwa tafakuri tangazo la kusitisha uchapishaji na usambazaji wa vitabu vya historia ya Tanzania ambavyo vilikuwa na mapungufu mengi na makosa yasiyovumilika.

Moja kubwa lilililopigiwa kelele sana ni vitabu tajwa kujaa habari za kumsifu na kumtukuza Rais wa awamu ya tano marehemu mwendazake John Pombe Magufuli huku vikiwataja kwa uchache sana Marais wengine wote waliomtangulia tangu uhuru na kwa sehemu walitupiwa shutuma kwa mambo mengi.

Kumbuka hivi vitabu vingefundishwa kuanzia msingi, sekondari nadhani ma hata vyuoni.. Kwahiyo ilikuwa inatengenezwa historia mpya ya mtu mmoja kwa mgongo wa Tanzania na kulazimisha watu wote waisome na kuijibia mitihani

Anthony Diallo mwana CCM mwandamizi kazua mjadala mitandaoni baada ya kutoa yake ya moyoni.

Kasemwa sana lakini naye katapika nyongo ya kutosha sana! Waswahel wanasema ni heri ukweli uliochelewa kuliko uongo uliowahi...!

Kwa hakika maandalizi yalikuwa mengi
.Kuusambaratisha upinzani kwa njia haramu
.Kubambikia kesi mbaya yeyote aliyeonekana tishio
. Kuweka watu wake kila idara nyeti na muhimu
. Kuliandaa bunge kuleta marekebisho ya kuondoa ukomo ama kuongeza muda wa kukaa madarakani
.Kuandaa kuchongewa sanamu la bei ghali nknk

Mungu ni wa ajabu na kwakweli anatupenda sana. Karibia mengine yote hapo juu yalikwisha fanyika na mengine yalikuwa yako kwenye mpango kazi tayari.

Imagine sanamu na vitabu vya historia ilikuwa iwe mwezi huu.. Baada ya hapo lingefuata bunge August kufanya yake..!

Mwanaccm mwandamizi kama Diallo kuongea yale. Ana support kubwa yake tena ya chama chake maana hakuna aliyeachwa salama...!

Upinzani uliopo sasa ni upinzani ndani ya chama tawala.. Na wanatifuana na kutimbana kwa kwenda mbele..!

Nawaombeni tu wanaccm wafunike kombe wajumuike kudai katiba mpya ili yasije kuja kutokea tena aliyoyasema Diallo na haya mengine mengi...!!!

Tumrudishie nini Mungu watanzania?
Kwa Mara ya kwanza watanzania tumeona faida ya kifo.
 
Nireteeni Gwajimaaaaa!

Mungu hagawani utukufu na mwanadamu, akaona isiwe nongwa akamchukua!
wahusika wakuu ni:_

1. Juma Nkamia.
2. Msukuma-
3. Kibajaji.
4. Mwigulu.
Hawa watu bado tu wapo kwenye uongozi wa Samia, na wanafanya mambo as if nchi ni ya genge lao[SUKUMA GANG].

Mwigulu huyu anaweka kodi za kila aina kwa visingizio kibao, na kipindi cha mwendazake aifanya hivi na kutetea ujinga, leo wanamgeuka mwendazake SITOSHANGAA WATAKAPO KUJA MGEUKA SAMIA, muda utasema.
 
Never and never again. Isitokee tena milele na tukaze buti, tufunge vibwebwe kudai katiba mpya

Nimesoma kwa tafakuri tangazo la kusitisha uchapishaji na usambazaji wa vitabu vya historia ya Tanzania ambavyo vilikuwa na mapungufu mengi na makosa yasiyovumilika.

Moja kubwa lilililopigiwa kelele sana ni vitabu tajwa kujaa habari za kumsifu na kumtukuza Rais wa awamu ya tano marehemu mwendazake John Pombe Magufuli huku vikiwataja kwa uchache sana Marais wengine wote waliomtangulia tangu uhuru na kwa sehemu walitupiwa shutuma kwa mambo mengi.

Kumbuka hivi vitabu vingefundishwa kuanzia msingi, sekondari nadhani ma hata vyuoni.. Kwahiyo ilikuwa inatengenezwa historia mpya ya mtu mmoja kwa mgongo wa Tanzania na kulazimisha watu wote waisome na kuijibia mitihani

Anthony Diallo mwana CCM mwandamizi kazua mjadala mitandaoni baada ya kutoa yake ya moyoni.

Kasemwa sana lakini naye katapika nyongo ya kutosha sana! Waswahel wanasema ni heri ukweli uliochelewa kuliko uongo uliowahi...!

Kwa hakika maandalizi yalikuwa mengi
.Kuusambaratisha upinzani kwa njia haramu
.Kubambikia kesi mbaya yeyote aliyeonekana tishio
. Kuweka watu wake kila idara nyeti na muhimu
. Kuliandaa bunge kuleta marekebisho ya kuondoa ukomo ama kuongeza muda wa kukaa madarakani
.Kuandaa kuchongewa sanamu la bei ghali nknk

Mungu ni wa ajabu na kwakweli anatupenda sana. Karibia mengine yote hapo juu yalikwisha fanyika na mengine yalikuwa yako kwenye mpango kazi tayari.

Imagine sanamu na vitabu vya historia ilikuwa iwe mwezi huu.. Baada ya hapo lingefuata bunge August kufanya yake..!

Mwanaccm mwandamizi kama Diallo kuongea yale. Ana support kubwa yake tena ya chama chake maana hakuna aliyeachwa salama...!

Upinzani uliopo sasa ni upinzani ndani ya chama tawala.. Na wanatifuana na kutimbana kwa kwenda mbele..!

Nawaombeni tu wanaccm wafunike kombe wajumuike kudai katiba mpya ili yasije kuja kutokea tena aliyoyasema Diallo na haya mengine mengi...!!!

Tumrudishie nini Mungu watanzania?
Kama umekiona ingekua vyema ukatupatia tumtukane vizuri
 
Bweshee Nauliza Hivi katiba ya sasa Imeruhusu hayo yote hapo juu?
 
JPM alikuwa zaidi ya mnyama alikuwa mtu wa hovyo sana kupata kutokea toka kuundwa kwa taifa hili. Ila nasikitika sana kwa Mungu kumchukua Mkapa kwanza huyu mzee wa Lupaso ilibidi awepo hai hajionee uchaguzi mkuu wa kijinga kuwahi kutokea. Mungu kalipenda taifa na kawapenda Watanzania sana. Tupaze sauti kuwatambua wahalifu wote waliokuwa katika mpango haramu wa kumfanya Mrundi atawale milele.
Hata uchaguzi wa 2000 ambao Mkapa alikuwa anagombea kwa mara ya pili ulikuwa wa ovyo tu. Tofauti yake na Magufuli ni kwamba Magufuli na tamaa zake kama fisi alitumia nguvu zote kuwapa ushindi mafisi wenzake wa ccm
 
Never and never again. Isitokee tena milele na tukaze buti, tufunge vibwebwe kudai katiba mpya

Nimesoma kwa tafakuri tangazo la kusitisha uchapishaji na usambazaji wa vitabu vya historia ya Tanzania ambavyo vilikuwa na mapungufu mengi na makosa yasiyovumilika.

Moja kubwa lilililopigiwa kelele sana ni vitabu tajwa kujaa habari za kumsifu na kumtukuza Rais wa awamu ya tano marehemu mwendazake John Pombe Magufuli huku vikiwataja kwa uchache sana Marais wengine wote waliomtangulia tangu uhuru na kwa sehemu walitupiwa shutuma kwa mambo mengi.

Kumbuka hivi vitabu vingefundishwa kuanzia msingi, sekondari nadhani ma hata vyuoni.. Kwahiyo ilikuwa inatengenezwa historia mpya ya mtu mmoja kwa mgongo wa Tanzania na kulazimisha watu wote waisome na kuijibia mitihani

Anthony Diallo mwana CCM mwandamizi kazua mjadala mitandaoni baada ya kutoa yake ya moyoni.

Kasemwa sana lakini naye katapika nyongo ya kutosha sana! Waswahel wanasema ni heri ukweli uliochelewa kuliko uongo uliowahi...!

Kwa hakika maandalizi yalikuwa mengi
.Kuusambaratisha upinzani kwa njia haramu
.Kubambikia kesi mbaya yeyote aliyeonekana tishio
. Kuweka watu wake kila idara nyeti na muhimu
. Kuliandaa bunge kuleta marekebisho ya kuondoa ukomo ama kuongeza muda wa kukaa madarakani
.Kuandaa kuchongewa sanamu la bei ghali nknk

Mungu ni wa ajabu na kwakweli anatupenda sana. Karibia mengine yote hapo juu yalikwisha fanyika na mengine yalikuwa yako kwenye mpango kazi tayari.

Imagine sanamu na vitabu vya historia ilikuwa iwe mwezi huu.. Baada ya hapo lingefuata bunge August kufanya yake..!

Mwanaccm mwandamizi kama Diallo kuongea yale. Ana support kubwa yake tena ya chama chake maana hakuna aliyeachwa salama...!

Upinzani uliopo sasa ni upinzani ndani ya chama tawala.. Na wanatifuana na kutimbana kwa kwenda mbele..!

Nawaombeni tu wanaccm wafunike kombe wajumuike kudai katiba mpya ili yasije kuja kutokea tena aliyoyasema Diallo na haya mengine mengi...!!!

Tumrudishie nini Mungu watanzania?
MUNGU wetu ni fundi akapita naye chap
 
Back
Top Bottom