Maandalizi ya EID (Iddi) yanaendelea VIZURI!!!

Maandalizi ya EID (Iddi) yanaendelea VIZURI!!!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
ImageUploadedByJamiiForums1405852036.089772.jpgNitaitengeneza keki,rosti.na kavu.Alhamdulillah...cc kabanga Munkari charminglady FaizaFoxy sungura1980 Eiyer MziziMkavu mshanajr Excel na wengine wote karibuni!
 
Last edited by a moderator:
mmh sitaki ushaidi kwenye huu uchokozi.
 
pamoja sana mkuu, maana mauzo ya kitumoto, machangu.doa na pombe (gambe) yamepungua sana mwezi huu inshort biashara imekuwa ngumu sana
 
pamoja sana mkuu, maana mauzo ya kitumoto, machangu.doa na pombe (gambe) yamepungua sana mwezi huu inshort biashara imekuwa ngumu sana

Ndio maana kiungwana tumeanza kuwaandalia kiroho safi mkuu!
 
Jamani sasa hapo umekosea.Unajua kabisa imani hairuhusu halafu wewe ndo unaleta masihara?Sio vizuri kuchezea imani za watu
 
View attachment 172185Nitaitengeneza keki,rosti.na kavu.Alhamdulillah...cc kabanga Munkari charminglady FaizaFoxy sungura1980 Eiyer MziziMkavu mshanajr Excel na wengine wote karibuni!

Nasema na ntaendelea kusema hata kama ntapigwa ban WAGONJWA WA AKILI JF WANAONGEZEKA KILA KUKICHA.
mleta uzi anajuwa wazi kabisa kuwa uzi wake umelenga kuwaudhi watu wa imani flani lakini KWA MAKUSUDI anaamua kuandika uzi wenye mtazamo huo, je huu si ugonjwa wa akili?
UKWELI UTABAKI PALE PALE KWAMBA DINI YA KIISLAMU HAIRUHUSU WAUMINI WAKE KULA HUYO MNYAMA,NA PIA IMEKATAZA MAASI WAKATI WOWOTE NA IMEKEMEA ZAID KUMUASI MUNGU SIKU YA IDDI.Huu utabaki kuwa ni ukweli ndani ya dini hata kama wengine wataamua kuupindisha kwa kuangalia tu waislamu wachache WALIOASI DINI na kufanya maovu!
 
Takwimu zako siyo sahihi - Mwezi wa Ramadhan ulitukufishwa "maasi" hupungua kwa kiasi kikubwa sana hasa hasa hapa Dar Es Salaam...!

Matukio yanapungua mwezi wa Ramadhan ni kama vile:-

1. Matukio ya wizi wa kutumia silaha na ubakaji
2. Idadi ya walevi mbwa" kwenye mabaa
3. Idadi ya uuzaji wa Nguruwe
4. Wateja wa Nyumba za kulala wageni
5. Maudhurio kwenye "Nyumba Ndogo"
6. Ajali za Barabarani

e.t.c
 
Back
Top Bottom