Maandalizi Makubwa ya Valentine's Day

Maandalizi Makubwa ya Valentine's Day

Captain Phillip

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
894
Reaction score
538
Valentine'S Day... Only a Month away..
Mkuu hebu 2fanye hesabu!..
Valentine Dress: 70,000 shs
Salon: 30,000 shs
Flowers: 20,000 shs
Gift: 40,000 shs
Dinner: 50,000 shs
Drinks: 40,000 shs
Taxi: 40,000 shs
Hotel: 60,000 shs

The look on your face when she tells you she's on her periods,= PRICELESS...:
 
Hizi gharama zote ni mke au demu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hv kumbe ndo huwa mnagharamika hivyo.
kazi kwenu wenye wapenzi,nashukru itakuwa ni siku ya kazi. Ntaenda zangu job then ntarudi zangu kwangu kupumzika.
 
Kumbe unagharamika kiasi hicho, mi naona nikupe poleeeeeeeeeee.
Kwangu mimi anaweza asiambulie kitu zaidi ya card na ua.
 
Hizi gharama zote ni mke au demu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu mke hahusiki na hii kitu coz yuko ndani tayari..Haya mazoezi tunayafanya kwa viwanja vipya ili kujenga jina
 
hv kumbe ndo huwa mnagharamika hivyo.
kazi kwenu wenye wapenzi,nashukru itakuwa ni siku ya kazi. Ntaenda zangu job then ntarudi zangu kwangu kupumzika.

Mkuu angalia usiendekeze kazi siky hiyo wajanja wakam-entertain mwandani wako
 
Mmmmh! kumbe unatakiwa ufanyiewe hivyo? mie huyu mume wangu nikimwambia anasema mbona mke wangu kila siku wewe ndio Valentine wangu sasa zawadi ya nini ebu kwanza leo pika ugali mchuzi wa nazi,ngisi halafu choma nguru mfanye na kachumbari nile, oooooh mara hii sikubali nampelekea list hiyo mapema ajipange...
 
.... Hotel: 60,000 shs
The look on your face when she tells you she's on her periods,= PRICELESS...:

Kumbe valentine day mwisho wake ni huko hotelini? Sikulijua hilo.
Nilifikiri ni siku ya kuonyesha upendo kwa yeyote wa familia au jamaa kama baba, mama, kaka, dada, mke, mume, ndg wa karibu, rafiki, nk
 
Mkuu mke hahusiki na hii kitu coz yuko ndani tayari..Haya mazoezi tunayafanya kwa viwanja vipya ili kujenga jina

Halafu baadaye unakuja kuilalamikia serikali ya CCM kwamba maisha magumu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu angalia usiendekeze kazi siky hiyo wajanja wakam-entertain mwandani wako[/QUOT

mmmh!! wamchukue tu tena siku hiyo naona atakuwa anachukuliwa rasmi maana km kuchukuliwa tu alishachukuliwa siku nyingi sana.
 
Valentine'S Day... Only a Month away..
Mkuu hebu 2fanye hesabu!..
Valentine Dress: 70,000 shs
Salon: 30,000 shs
Flowers: 20,000 shs
Gift: 40,000 shs
Dinner: 50,000 shs
Drinks: 40,000 shs
Taxi: 40,000 shs
Hotel: 60,000 shs

The look on your face when she tells you she's on her periods,= PRICELESS...:
Hata tukiikabidhi Chadema nchi hii kama itaendelea kuwa na raia wapumbavu kama huyu basi umaskini utazidi kuongezeka.
 
Valentine'S Day... Only a Month away..
Mkuu hebu 2fanye hesabu!..
Valentine Dress: 70,000 shs
Salon: 30,000 shs
Flowers: 20,000 shs
Gift: 40,000 shs
Dinner: 50,000 shs
Drinks: 40,000 shs
Taxi: 40,000 shs
Hotel: 60,000 shs

The look on your face when she tells you she's on her periods,= PRICELESS...:

Mimi nilijua ni mahela mengiii sana kumbe laki 350,000/= tu si nyingi sana unapoamua kufurahia na mpenzi wako.
wanasema Hasara ROHO pesa Makaratasi , utapate mengine lkn roho ikitoka hairudi tenaaaaaaaaaaaa!

ILA sisi wengine tukigusia tu, Unaambiwa uchague Valentine Day au Ada Ya Chuo inabidi Uwe Speechless!!! unauma uma vidole na kusepa seating room.
 
Kumbe unagharamika kiasi hicho, mi naona nikupe poleeeeeeeeeee.
Kwangu mimi anaweza asiambulie kitu zaidi ya card na ua.

Duh...watu kumbe m'baaado kabisa watoto...hiyo low budget valentine unalalamika hivyo!? Kuhonga kipaji...
 
Duh...watu kumbe m'baaado kabisa watoto...hiyo low budget valentine unalalamika hivyo!? Kuhonga kipaji...

Hiyo unafanya tena kwa event ya siku moja tu, acha Mchaga mimi nikae pembeni.
Kutoa pesa kiasi hicho siwezi, Tajiri hasifiwi kuwa ni kiasi gani ametoa bali ni ngapi ameingiza.
 
Valentine'S Day... Only a Month away..
Mkuu hebu 2fanye hesabu!..
Valentine Dress: 70,000 shs
Salon: 30,000 shs
Flowers: 20,000 shs
Gift: 40,000 shs
Dinner: 50,000 shs
Drinks: 40,000 shs
Taxi: 40,000 shs
Hotel: 60,000 shs

The look on your face when she tells you she's on her periods,= PRICELESS...:

Viatu na handbag umeshanunua? usije sahau
 
mbona kwangu ni siku kama siku zingine hiyo mihela bora niongezee nikanunue kiwanja kinidai nyumba
 
Back
Top Bottom