Maandalizi Makubwa ya Valentine's Day

Maandalizi Makubwa ya Valentine's Day

Hiyo unafanya tena kwa event ya siku moja tu, acha Mchaga mimi nikae pembeni.
Kutoa pesa kiasi hicho siwezi, Tajiri hasifiwi kuwa ni kiasi gani ametoa bali ni ngapi ameingiza.

Kwani unafikiri papaa Msofe, ndama Mutoto ya ng'ombe, Muzamil etc matajiri basi...lakini wanafahamika kwa kutumia!
 
Valentine'S Day... Only a Month away..
Mkuu hebu 2fanye hesabu!..
Valentine Dress: 70,000 shs
Salon: 30,000 shs
Flowers: 20,000 shs
Gift: 40,000 shs
Dinner: 50,000 shs
Drinks: 40,000 shs
Taxi: 40,000 shs
Hotel: 60,000 shs

The look on your face when she tells you she's on her periods,= PRICELESS...:
siamini valentine inakuja tena nikiwa single...!hivi na me nitakuja nifall in love kweli!
 
Hata tukiikabidhi Chadema nchi hii kama itaendelea kuwa na raia wapumbavu kama huyu basi umaskini utazidi kuongezeka.

Mkuu naona umeingia na spidi ya matusi katika mabandiko yako mengi.Unauthibitishia umma umajinuni wako kana kwamba ubongo wako uko kwenye hedhi.

Vyama vya siasa havipo kuweka taratibu na mbinu za watu kuonyeshana mapenzi.Kaanzeni kuwashauri viongozi wenu waoe ndipo mje na ----- kama huu mwana izaya wewe.
 
Yaani ale zote hizo alafu eti aniambie niko kwenye period??????weeeeee thubutu naenda PEMBA,.........
 
Mkuu naona umeingia na spidi ya matusi katika mabandiko yako mengi.Unauthibitishia umma umajinuni wako kana kwamba ubongo wako uko kwenye hedhi.

Vyama vya siasa havipo kuweka taratibu na mbinu za watu kuonyeshana mapenzi.Kaanzeni kuwashauri viongozi wenu waoe ndipo mje na ----- kama huu mwana izaya wewe.
Mpumbavu kabisa wewe, Raia kama wewe mnastahili kunyongwa tu ni mzigo kwa Taifa.
 
Uwiii alafu yupo kwa mp duuuuuh!!!!! Mimi sina mbavu jamani!!!!!! Uwiiii haaaaa!!!!!! Lkn heri mwanaume aangaike mwanamke ukijitesa na mchuchumio mwanaume mwenyewe mangi haelewi hiyo mambo yy ni tungi tu siku hiyo hana jipya zaidi y kula bia mama tukalale mkifika anaanza yy kukoroma mapenzi kazi safari hii nauchuna si toi kadi wala ua nione nitajaliwa duuuuh nikiona vipi hakuna harufu ya special day nauchuna na tumbo hata la uongo litauma cku hiyo bora iaribike kabisaa
 
Mpumbavu kabisa wewe, Raia kama wewe mnastahili kunyongwa tu ni mzigo kwa Taifa.

Kunyongwa!!Hizi si sera za CDM ila POYOYO kama wewe na kwa aina ya kazi unayoifanya kama alivyosema Mkuu Chama naamaini kabisa mbali ya Kufua Ch*p wanakubatua pia kwa nyuma manake mwanamume kamili hawezi kuwa na guts za kuongea pumba kama hizi na kutaja chama tukufu kama CDM.
 
kazi ipo,watoto wa mujini mnasumbua sana,yaani hiyo bajeti bora umtumie mama yako hako kapesa atashukru maramia
 
Back
Top Bottom