Mwenezi wa CCM komredi Makonda anaandaa program ya Ushindi wa sunami Uchaguzi wa Serikali za mitaa na Uchaguzi mkuu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,081
Baada ya ziara ndefu ya kanda ya Ziwa CCM imejiridhisha bado inakubalika sana hivyo inawaandalia Wanachama wake na Wananchi wote kwa Ujumla program ya Ushindi wa sunami

Kule ziwani ndio Kwenye 30+% ya kura zote

CCM ni Chama kikubwa sana 😀🔥
 
Baada ya ziara ndefu ya kanda ya Ziwa CCM imejiridhisha bado inakubalika sana hivyo inawaandalia Wanachama wake na Wananchi wote kwa Ujumla program ya Ushindi wa sunami

Kule ziwani ndio Kwenye 30+% ya kura zote

CCM ni Chama kikubwa sana
Kapunguza kilo ngapi za yale manyama?
 
Back
Top Bottom