payuka
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 829
- 127
Nakushauri ukafanye kozi ya " critical thinking" and other soft skill courses zitakusaidia.
Umeongea vizuri lakini mshindi ni mshindi hata kwa kura moja tu still ameshinda, jaribuni tena baadae. Katika analysis zako ulisahau kuwa magwanda walikuwa hawakuweka mgombea kabla ya miezi 11.
Nnawapa pongezi sana magwanda kwa kujitahidi, na nnawapa pongezi sana CCM kwa ushindi. Wote watazame matokeo na wajifunze kwa hayo matokeo ili chaguzi zingine ziwe na changamoto zaidi.
Naamini kuwa Serikali yoyote hufanya vyema zaidi pale kwenye upinzani mzuri zaidi, kwani wakiteleza tu, upinzani unachukuwa madaraka.
Hongera wana Igunga wote bila kujali itikadi yao kichama. Mbunge aliyechaguliwa aanze kazi ya kuwatumikia wananchi na isiwe kama wabunge wengine ambao hugombea kwa sababu zao binafsi.