Maana ya neno "Snitch"

Maana ya neno "Snitch"

Teh teh..Njaa mbaya sana aisee..Ila mi simlaumu..Kama mtu kaona sehemu kuna pesa na anaweza kuzichukua kilahisi afanyeje sasa..Baada ya Mjomba kutoka na kukiki uraiani Mzee wa kaya akaja kumpoza na milioni 18,Ulitegemea atazikataa aendelee kushindia mihogo?

Walokole wenyewe wanafanya mziki biashara sembuse huyu Mjomba..Mwacheni apige pesa tu
 
c666f5e180a8e5236ac51deb6da5a3bd.jpg


Ukitaka kujua maana ya snitch...na mfano wake ni Mrisho Mpoto.

Msanii aliyejifanya kuikosoa serikali kwa kupitia sanaa kumbe ni mnafiki mkubwa mbele ya jamii hii na ni fisadi mkubwa anaye kula na mafisadi nadhani hii ninjaaa na kufanya sanaa ya unafki "usnitch".

Mziki wakweli ni ule unao fanya kutoka Moyoni.

Nilishtuka toka siku nyingi tuu thats why nilikataa nyimbo zake hazifanywi kutoka moyoni ni unafki na snitch.


Je, unaweza kutoa ushahidi mahakamani kwamba Mpoto ni fisadi? Umeisoma Cyber crime law"
 
Teh teh..Nasikia kwenye harusi yake alitumia Boga kama keki
Halafu akaenda honey moon hoteli ya nyota nane nje ya nchi kula bata mwezi mzima[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

(natania tu hata simjui huyo mtu)
 
Siku nilipomgindua huyu jamaa kuwa hayuko kama anavyotaka tuamini ni siku alikua anahojiwa star tv.. walimtembelea nyumbani kwake.

jamaa nyumbani kwake sijaona anaaply huo utamaduni wa kiafrica wala nini, nyumba ina tiles, masofa ya maana.. nk

alafu mwisho wa kipindi akamkaangia mtangazaji mayai ya KISASA (tena amejaza matrei ya kutosha tu) kwenye jiko la gesi

huyu jamaa anatumia fursa tu lakini hamna cha utamaduni wala nini


Ulitaka apikie kuni na kutwanga kwa kinu ndo ujue anadumisha mila?
au sijakuelewa?
 
nakumbuka katika ule Wimbo wa Salamu zangu a.k.a mjomba aliimba na jamaa anaitwa Elidadi Mushi na dada mmoja anaitwa Irene Sanga...wali compose ule Wimbo pamoja na walikuwa na mpango wa kutoka wote kama crew,jamaa likawapiga chenji kwota wenzake... Kuna mengi sema tu siwezi elezea ila kifupi jamaa ni sninga kinoma
 
Hii habari sijaielewa vizuri ilikuwaje hadi huyu mzee mkamuita snitch
au mlichukia pale alipo muimba mkuu wa nchi. alipo sema karibu sana sizonje hii ndio nyumba yetu.
 
MWACHENI ATENGENEZE PESA.KUFUATA UTAMADUNI HAIMAANISHI HATA VITU VIZURI VYA KISASA AMBAVYO HAVIATHIRI UTAMADUNI WAKE ASIUFUATE.TULIKUWA HATUVAI NGUO HAPO ZAMANI KWA MAANA HIYO UNATAKA ATEMBEE UCHI.ACHENI ROHO MBAYA KAMA WE SENATOR JR UMESHINDWA KUTAFUTA PESA MWACHE MZEE WA SIZONJE APIGE PESA.ACHENI ROHO ZA KISOKOROKWINYO.
 
MWACHENI ATENGENEZE PESA.KUFUATA UTAMADUNI HAIMAANISHI HATA VITU VIZURI VYA KISASA AMBAVYO HAVIATHIRI UTAMADUNI WAKE ASIUFUATE.TULIKUWA HATUVAI NGUO HAPO ZAMANI KWA MAANA HIYO UNATAKA ATEMBEE UCHI.ACHENI ROHO MBAYA KAMA WE SENATOR JR UMESHINDWA KUTAFUTA PESA MWACHE MZEE WA SIZONJE APIGE PESA.ACHENI ROHO ZA KISOKOROKWINYO.
Labda kabila lenu ndo mlikuwa hamvai nguo,sie kabila letu tunanyuka pamba for generations
 
UNAONEKANA HATA SHULE YAKO INA MUSHKERI HATA HISTORIA YAKO HUIJUI AU UMEKUNYWA DENGERUA.
Historia ipi mzee,ile mnayokaririshwa huko shuleni kuwa binaadamu alikuwa nyani,kuwa waafrika kabla ya ukoloni walikuwa majuha savages wasiostaarabika,au ile inayosema kuwa waaafrika walikuwa wanavaa nyasi na kuchezea mdako almasi?.hustoria mloandikiwa na watawala wakizungu?.ukasoma ukapata na shehena ya vyeti ukajiona wewe ndo umeelimika.
Historia nayoijua mimi yenye evidence inanambia afrika ilianza kustaarabika miaka maelfu kabla ya ulaya,enzi hizo bado wazungu wako dark ages wanahangaika na plagues ilhali afrika watu wanaishi kwa raha zao kwenye majumba ya ghorofa wakiwa na wasomi waliobobea katika fani mbali mbali kama utabubu na fizikia na hesabu.inanambia mafarao na wa masri wa kipindi hicho walikuwa weusi.na pyramids zilijengwa na watu weusi.inanambia chuo kikuu cha kwanza duniani kilikuwa africa.Inanambia matajiri wakubwa kuwahi kutokea duniani walikuwa weusi.
Sasa unaponiambia zamani waafrika tulikuwa tunatembea uchi nashindwa kukuelewa ndo mana nkasema itakuwa kabila lenu ndo walokuwa na tabia hizo za kishamba.nijuavyo mimi makabila yanye mtindo huo ni yale ya porini yalokuwa mbali na civilization i.e bushmen,hadzabe etc.ila mm naifahamu hustoria yangu vizuri,ninaweza ku trace geneology yangu mpaka sudan na ethiopia ambako ndo asili yangu na kati ya hizo sehemu hakuna hata moja ambayo walikuwa wanatembea bila nguo au kuvaa majani ya miti.
Fungua akili yako mzee.kuna archeological evidence ya uwepo wa watu weusi dunia nzima kwenye mabara yote kuanzia the americas mpka australia miaka maelfu kabla ya race nyengine,tena enzi hizo kabla ya ile continental drift,sasa jiulize hawa watu walifikaje huko kote kwenye baridi kali miaka maelfu yalopita kama hata nguo walikuwa hawavai.
 
UNAONEKANA HATA SHULE YAKO INA MUSHKERI HATA HISTORIA YAKO HUIJUI AU UMEKUNYWA DENGERUA.
Sasa ilituondoe ubishi usiokuwa na tija hebu tuwekee ushahidi kuwa waafrika in general tulikuwa hatuvai nguo enzi hizo
 
UWA SIBISHANI NA VICHWA VYA WENDAWAZIMU.
kumbe mtu akiwa na mawazo tafauti na wewe anakuwa mwendawazimu eeh?.angalau ungepangua hoja zangu kuonyesha kuwa siko sahihi.lakini siku zote wasiostaarabika hutumia matusi na kejeli wanapishindwa na hoka. sawa basi mkuu mimi na wendawazimu wenzangu tunakutakia siku njema.
 
kumbe mtu akiwa na mawazo tafauti na wewe anakuwa mwendawazimu eeh?.angalau ungepangua hoja zangu kuonyesha kuwa siko sahihi.lakini siku zote wasiostaarabika hutumia matusi na kejeli wanapishindwa na hoka. sawa basi mkuu mimi na wendawazimu wenzangu tunakutakia siku njema.
MIE SIONI MANTIKI YA KUBISHANA KAMA UNAVYODAI WEWE.SIE WAAFRIKA NGUO TUMELETEWA NA WATU WEUPE LIKO WAZI KWA WATU WENGI SASA UNATAKA KUBISHANA KWA LIPI.NAJUA UNAJUA ILA UNAPENDA MABISHANO.
 
MIE SIONI MANTIKI YA KUBISHANA KAMA UNAVYODAI WEWE.SIE WAAFRIKA NGUO TUMELETEWA NA WATU WEUPE LIKO WAZI KWA WATU WENGI SASA UNATAKA KUBISHANA KWA LIPI.NAJUA UNAJUA ILA UNAPENDA MABISHANO.
Hahah daah yaani hii komenti yako imenichekesha na kuniskitisha kwa wakati mmoja.ngoja waje wengine watusaidie kukuelezea.Alafu mbona unajichanganya tena,mwanzo ilikuwa "wazungu" sasaiv unasema watu weupe".hyo terminology ya watu weupe haifai kuitumia kwenye mjadala wa historia,maana hapo utakuwa unazungumzia skin color badala ya ethnicity.
Hay tu assume unamaanisha wazungu(europid),unajua ni lini walianza kuingia africa ?na kuinteract na wenyeji,unajua africa ilikuwa katika hali gani kabla hawajaja?.Na ninaposema africa namaanisha baraza zima kwa ujumla na watu wenye asili ya hapo,sasa huenda ikawa huko kwenu asili yenu mlikuwa hamvai nguo kabla wazungu hawajaja kuwaletea neema ya nguo,lakini sio africa nzima,na wala sio tanzania nzima walioletewa teknolojia ya nguo na wazungu.nakushauri ukafanye research vizuri uijue africa yako.ogopa sana mtu anakuja kukuandikia historia yako alafu anakufosi kuwa ndio sahihi.
 
Back
Top Bottom