Hahah daah yaani hii komenti yako imenichekesha na kuniskitisha kwa wakati mmoja.ngoja waje wengine watusaidie kukuelezea.Alafu mbona unajichanganya tena,mwanzo ilikuwa "wazungu" sasaiv unasema watu weupe".hyo terminology ya watu weupe haifai kuitumia kwenye mjadala wa historia,maana hapo utakuwa unazungumzia skin color badala ya ethnicity.
Hay tu assume unamaanisha wazungu(europid),unajua ni lini walianza kuingia africa ?na kuinteract na wenyeji,unajua africa ilikuwa katika hali gani kabla hawajaja?.Na ninaposema africa namaanisha baraza zima kwa ujumla na watu wenye asili ya hapo,sasa huenda ikawa huko kwenu asili yenu mlikuwa hamvai nguo kabla wazungu hawajaja kuwaletea neema ya nguo,lakini sio africa nzima,na wala sio tanzania nzima walioletewa teknolojia ya nguo na wazungu.nakushauri ukafanye research vizuri uijue africa yako.ogopa sana mtu anakuja kukuandikia historia yako alafu anakufosi kuwa ndio sahihi.