Sio kila jembe lina tundu!

Mi najua maana mbili tu za neno JEMBE,maana ya kwanza ni mtu mshamba mgeni wa town na maana ya pili ni mtu shupavu,mpiga kazi wa kutegemewa.Mheshimiwa spika naomba kuwasilisha hoja.

Exactly mh,umeniwahi. Hawa ni wale ambao wamezaliwa town,cc wa shamba twajua co kila jembe lina tobo.
kimjinimjini jembe ni mtaji(pesa).huwezi kufanya biashara kama huna jembe.maana nyingine ni mtu shupavu.kijijini jembe ni kifaa kinachotumika kulimia.mia

mkuu hii kitu ilianzia pande za TMK, hii kwa kiswahili huwa inaitwa misimu

JEMBE ni TEGEMEO FLAN, BILA HILO HAKUNA KITU KITAKACHOENDA SAWA..........mfano

1)Biashara, jembe ni mtaji - in red uko poa

2)Familia, jembe ni mhimili wa nyumba - m2 anaeiweka familia mjini

3)Soka, jembe ni key player wa timu

4)Kilimo, mkulima bila jembe mkono hauendi kinywani - ni mtaji kwake

5)Urafiki, jembe ni mshkaj ambaye ukipiga nae kazi mambo yanaenda poa

Nawasilisha

ni mwanamke asiye na sura ya kuvutia.