Maana ya ID yangu.

Maana ya ID yangu.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Bavarian Motor Works

1920x1200-bmw-logo-download.jpg
 
Nilikuwa sifahamu, baada ya ku-google nikaikuta ya Kijerumani Bayerische Motoren Werke.
 
Kuna jinga moja livuta bangi sijui Ras nani kipindi Redio one inaanzishwa kwenye kipindi cha Reggae time likatupiga kamba ati kirefu cha BMW walipewa heshima Bob Marley and the Wailers, na kwa kipindi kile cha ujima alitupata kweli tulimuamini, maana habari za mamtoni tulitegemea mpaka tununuwe Source Magazine pale Salamander Coner, la kina Talib Kweli ambaye tulidanganywa pia kuwa ni mbongo.

Cc: Nyani Ngabu Kiranga

Enzi Internet hakuna bongo
 
Hahahahaha dah
 
Hahaha, Matola umenikumbusha mbali sana Enzi za Salamander kwa mnyamwezi wangu Carl Lewis.

Hapo watoto wa mjini washaenda kuchukua safari sana za unyamwezini, batani mpaka down under.

Watu wameondoka kiskauti, ki summer fest, ki I-20, mpaka wengine wamecukua green card.

Kabla hawa kina Mgufuli Magufuli hawajaja na mbio za Mwenge kutujazia mji wetu wambwela wambwela.

Sasa hivi mwanako nikirudi vijiwe vyangu hivyo vya Salamander mimi eti ndo naonekana mgeni!
 
Babu TOEFL uliifanyia wapi? Agha Khan Mzizima?
 
Hahaha, Matola umenikumbusha mbali sana Enzi za Salamander kwa mnyamwezi wangu Carl Lewis.

Hapo watoto wa mjini washaenda kuchukua safari sana za unyamwezini, batani mpaka down under.

Watu wameondoka kiskauti, ki summer fest, ki I-20, mpaka wengine wamecukua green card.

Kabla hawa kina Mgufuli Magufuli hawajaja na mbio za Mwenge kutujazia mji wetu wambwela wambwela.

Sasa hivi mwanako nikirudi vijiwe vyangu hivyo vya Salamander mimi eti ndo naonekana mgeni!
Mkuu Salamander Corner haipo tena, wajanja wengi wa Salamander karibu wote wapo unyamwezini, na hata Forodhani Secondary ya watoto wa kishuwa haipo tena, hata yule mchizi wa kitambo jina lake linaishia na Matola yuko Unyamwezini pia.
 
Kuna jinga moja livuta bangi sijui Ras nani kipindi Redio one inaanzishwa kwenye kipindi cha Reggae time likatupiga kamba ati kirefu cha BMW walipewa heshima Bob Marley and the Wailers, na kwa kipindi kile cha ujima alitupata kweli tulimuamini, maana habari za mamtoni tulitegemea mpaka tununuwe Source Magazine pale Salamander Coner, la kina Talib Kweli ambaye tulidanganywa pia kuwa ni mbongo.

Cc: Nyani Ngabu Kiranga

Enzi Internet hakuna bongo
Hahaahaaaa aliwapata kweli
 
Back
Top Bottom