Maamuzi ya ndani

Hivi kweli kwa nini CCM haikusajiliwa kama chama sawa na vingine wakati mfumo wa vyama vingi uliporuhusiwa mwaka 1992? 🤔
Kwa nini vyama vilivyojisajili kwenye mfumo wa vyama vingi havikumshinikiza msajili wa vyama aisajili pia CCM kama chama cha siasa na sio ChamaDola? 🤔
 
Jamaa ka set standard za upinzani upya nchini !!
Ame set mambo yapi Mkuu?
Maana mambo ambayo watu wa vyama vya mageuzi wamedai kwa muda mrefu hayajawa hadi leo,
1. katiba mpya yenye masilahi kwa taifa,
2. Tume huru ya taifa ya uchaguzi yenye sura za makundi mbalimbali nchini.
 
DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato

Jamaa anakuwa nje next month

Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana

Britanicca
Hivi huyo Di pii pii akionyesha kutokutaka kuendelea na kesi, na amewekwa ndani zaidi ya mwaka, je sheria za nchi yetu zinaruhusu kufungua kesi za madai kwa Jamuhuri?
 
DI PII PII Hana Nia ya Kuendelea na mchakato

Jamaa anakuwa nje next month

Yaan ni shujaa kaset standard za upande fulan kwa kuumia yeye! Tutaheshimiana sana

Britanicca
Huyu DII PII PII hiki cheo ni maalumu kwa ajili upinzani tuu! Naomba kesi ya DI PI PI ambayo haina sura ya kinyanyasaji dhidi ya upinzani ya huyu mshenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…