Maamuzi ya ndani

Hiyo ya siku 90 hatuna bajeti
 
Kuwatoa ccm zinahitajika strategic plans za maana zenye akili na watu wenye akili kuzitekeleza.
Hivi vi bitter comments vya mitandaoni haviwezi kuwaondoa Ccm
 
zimebaki siku ngapi mkuu
 
Balozi angekuwa na nia njema, asingekubali kuingia Ofisini baada ya mauaji ya maelfu ya wananchi October 29. Sasa amekaa akafikiria aje na mbinu gani ya kushinda rally ya 2030, akaja na propaganda za kuwawin Gen-Z
Sometimes ni vzr kupambana ukiwa kwenye mifumo ya adui ili kurahisisha mapambano. Ndio maana wanasema ukiwa na uadui na mkeo ni hatari zaidi kuliko ukiwa na uadui na jirani yako jambazi.
 
Lengo la haya maridhiano ni nini?
Haya mambo hayataki hila. Lazima ukweli, uwajibikaji then maridhiano yafanyike. Kinyume chake kila njia za hila ku solve itazaa matatizo mengine makubwa zaidi. Tunahairisha matatizo na kusuka mengine! Italeta matatizo mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…