Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,810
- 623
haaah haaah bado hujajua tu?
haaah haaah bado hujajua tu?
We jibu swali bana...mimi sijui!!
utata ni ww kuwa full time na sio half time lol
Maana yake sini mimi ni FULL TIME HOUSE WIFE au kuna kilichojificha?!
aaah hapo sasa nimekuelewa bibie,<br />
teh teh nipe story ya Zawadi mana niliishia part 1 alipopewa andazi dukani.
<br />zedikaya wewe ni mwanaume au mwanamke...nakumbuka ulishaleta mada ya mkeo hapa au nachanganya madesa mnh...
Embu kasome huko acha uvivu...nimeshakutafunia na kumeza unataka nimeze mimi!!
Kasome bana....jamani Lizy we nimegee japo kiduchu tu.
Kasome bana....
Ok turudini kwny mada jamani............. Umesema ni mkristu ww,Biblia inasema mfanyie mwenzio unachotaka ww akufanyie. Now u are in relationship with someone that already is commited to someone else ,sikujui nikuite nyumba ndogo ingawa sio sifa nzuri kabisa . Usivunje ndoa ya mtu . Jamaa tu kapagawa na ufundi wako. Kila siku malaika mbinguni wanafanya sherehe mkosefu mmoja akirudi. You are in the wrong tract change plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzUtata wangu nini sasa?!