Maamuzi sahihi ni yapi? Msaada!!

wee zedikaya wewe ni mwanaume au mwanamke??mmmmmnh <a href="https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/163804-mzuka-umepungua.html" target="_blank">https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/163804-mzuka-umepungua.html</a>

mkuu hapa umemkamata huyu dogo bwabwa kweli yani yeye anaona hili ndio jukwaa la kuleta mizaha,. Pumbavu huyu tena masaburi yake machafu grrrrrrr
 
jaman huyo dada sio mrembo wala hana elim ya kutosha maana angetumia elim na urembo wake kutafuta wake,yan na elim yako unataka kujiingiza kwny uke wenza?,. Elewa baada ya miez mi3 atatafuta mke wa3 cjui utajickiaje?
 
natamani nikutanae na wewe nukucharaze viboko.... how come.. dont u know that what goes around comes back around..? Acha tabia chafu hiyo..
 
We dada inaonekana elimu haijakusaidia.We endelea kumwagiwa tui la nazi na huyo bwana lakini ipo siku UTAKOJOA DAGAA.Nyambafuuu!
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom