Maamuzi sahihi ni yapi? Msaada!!

zedikaya wewe ni mwanaume au mwanamke...nakumbuka ulishaleta mada ya mkeo hapa au nachanganya madesa mnh...
<br />
<br />
Mkuu hii kumbukumbu yako ipo sahihi? So unamaana kuwa jamaa anatuzuga?
 
Umesema vizuri wakati anaoa hakuwa na ufahamu sahihi ...!unafikiri sasa ndio anaufahamu sahihi juu yako ?tamaa bana! Hapo ndio baadhi ya wanawake wanakuwa na akili maji,nikuulize ww ungekuwa umeolewa mwanzo una watoto wawili ukafanyiwa unayotaka kumfanyia mwenzako..? Umri wako si wa kuoelewa na mtu aliye ndani ya ndoa kwa nn humwamini mungu wako amekuandalia Mume wako mwema! Acha kutamani mume wa mtu ,mwache alee ,watoto wanamwitaji baba yao !wanawake huwa mnatengenezeana matatizo wenyewe!
 
Wewe unapotaka kuolewa na mme wa mtu unajisikiaje? Au kama ungekuwa wewe ndo mme wako anataka kuoa mke wa pili ungejisikiaje? Acha tamaa tafuta mme wako mwenyewe! Wewe ni msichana mrembo mwenye elimu nzuri full stop!
 
Wanawake kweli mwalimu wenu kipofu hata uwe na elimu vip lakini mwanaume hata kama kaishia std 4 atakupelekesha unachokimbilia kwenye uke wenza ni nini hasa kaa utulie usubiri uliepangiwa na Mungu jaribu kufikiria upo kwenye ndoa alafu unaletewa mke mwenza ungejisikiaje
 
Wewe ni mkristo alafu anadhubutu kuanika upuuzi unatembea na mume wa mtu tena mwenye familia yake bora,
huoni unamkatili mschana mwenzako? Na ukiolewa mapenzi yataamia nyumba ndogo utakuwa sababu ya kukosekana mapenzi nyumba kubwa.
Tafuta mume wako sio sahihi hata kidogo kuolewa wala kuwa na uhusiano na mume wa mtu zaidi wewe ni mkristo, na msomi, ukiolewa utajuta baadae i guarantee you, MUNGU WA MBINGUNI hatakaa kimya na kuingilia upendo wa ndoa ya watu ni laana.
MUNGU WA MBINGUNI atakupa mume wako kuwa na subira, na kusema unamkubali mume wa mtu iwe mwisho, funga moyo jitie ujasiri vunja uhusiano.
 
Ni wapi ktk biblia yesu/mungu alielekeza mtu aoe/kuolewa na akifanya hivyo aoe wangapi?
Nisaidieni kwani napatafta ili kufanya uamuzi
 
watu wengine mnakuwa hamna huruma jamaani, assume we ndo ungekuwa mke mkubwa afu mumeo anakuwa na mahusiano na mwanamke mwingine nje then atake kumuoa wewe utajisikiaje?
Mbaya zaidi upate taarifa anamwambia eti alikuoa wewe kwa bahati mbaya utaionjaje hiyo ladha?
Tumia busara na hekima! Usifurahie kuingilia ndoa za watu.
 
Utata wangu nini sasa?!
Ok turudini kwny mada jamani............. Umesema ni mkristu ww,Biblia inasema mfanyie mwenzio unachotaka ww akufanyie. Now u are in relationship with someone that already is commited to someone else ,sikujui nikuite nyumba ndogo ingawa sio sifa nzuri kabisa . Usivunje ndoa ya mtu . Jamaa tu kapagawa na ufundi wako. Kila siku malaika mbinguni wanafanya sherehe mkosefu mmoja akirudi. You are in the wrong tract change plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom