TheMeek
JF-Expert Member
- Mar 12, 2016
- 460
- 400
- Thread starter
- #81
Amina. Jibu zuri sana hili. Mungu ni mwema. Yesu Kristo akubariki sana. Nitafikisha ujumbe na ataufanyia Kazi kuanzia leo hii...,kwa 7 days.Pole sana kwa jirani.
Tatizo dogo sana hilo kwani kwa kupitia maombi ya mtu mwaminifu kwa Mungu, huyo mwanamama anarudi ndani ya siku 7.
Kwa wale wanaoamini upande wa pili pia upo uwezekano 100% wa kumrudisha.