Maamuzi mengine katika ndoa ni hatari

Maamuzi mengine katika ndoa ni hatari

Hapa naona hakuna tatizo...mtu kaondoka ...lazima maisha yaendeleee......
...Msifanye maisha kuwa magumu .....kama mtu hakutaki usimlazimishe......
 
Hapa naona hakuna tatizo...mtu kaondoka ...lazima maisha yaendeleee......
...Msifanye maisha kuwa magumu .....kama mtu hakutaki usimlazimishe......
Wazo zuri
 
Jamaa ni MTU anayeipenda sana Familia yake. Na anampenda sana mkewe.

Kutokana na maelezo yake, jamaa anasema, mke wake kabla ya kukutana nae alikua ni MTU wa kujirusha sana ( kubadilisha wanamme).

Jamaa alimpa mimba kwa bahati mbaya,; then akaamua kuchukua majukumu yote na kumfanya kuwa kama mke. Hivyo aliamua kumuoa kabisa kwa Taratibu zote.

Kwa kipindi chote katika mahusiano yao, jamaa anasema , mke wake amekuwa sio muaminifu. Anatumia mgongo wa dini ( Ulokole) kufichia Uovu wake.
ndugu nielewe, hapa umesema jamaa alishajua kuwa demu ni malaya(kicheche). ndo nasema alikosea kuoa, kilichomkuta alikitegemea. hapa sio suala la unconditional love!
 
ndugu nielewe, hapa umesema jamaa alishajua kuwa demu ni malaya(kicheche). ndo nasema alikosea kuoa, kilichomkuta alikitegemea. hapa sio suala la unconditional love!
Unconditional Love = Love the Sinner ; But >>> Hate Sin
 
mara nyingi mtu kama mkewe anatembea nje ya ndoa alijua hupata hasira kali sana. wengine wanaua na huyo kampiga imekuwa ni nafuu, japo si vzr. lakini kama ni kweli mwanamke kachepuka angeomba msamaha. stori hii ni ya upande mmoja huwezi kujua ukorofi wa mume pengine ndo umepelekea mwanamke kufanya hayo. mf. kama naye ni kicheche sana, au hawezi tendo la ndoa. si vzr kuchukua hatua hizo za kukimbia na baba mkwe kuingilia ila kujua mazingira kwa undani kungetupa picha halisi. mpaka sasa mtoa uzi hajaweka payana.
Ni kweli kabisa
 
Kwa agizo la Mungu, kwa Wakristo hamna Talaka. Wanaoachana leo na kuoa wengine, wanaishi uzinzi
Mungu yupi huyo unayemtaja wewe hapa? Yesu aliyeruhusu talaka na wewe usiyejuwa lolote nani tumwamwini?
 
Hapa tunaelezwa makosa ya upande mmoja tu, inaonyesha hiyo ndoa ina mambo mengi tu ambayo hatuyajui.
 
Ndoa zote unazozijuwa wewe zina talaka Mahakama ikijiridhisha zipo sababu za msingi za kuvunja ndoa na inavunjwa hata mlifungishwa ndoa na Papa.
Tell them. Wengine wanang'ang'ania talaka hakuna wakati kuna ndoa hazifai zinahatarisha hata maisha ya wanandoa pamoja na watoto. Ndoa zinavunjika tu..iwe ya kanisani, msikitini, kimila au ya serikalini.
 
duuh huwa najiuliza sana sijui itakuaje maisha yangu ya ndoa, mana mpka mwili unasisimka aisee, yan kuchapiwa mke wangu kiraisi hvo. huyo jamaa ambwage tu huyo demu maisha yaendelee. yan hafai hata kwa vocha.
 
Kama unaogopa ndoa kwa sababu za kuchapiwa basi hakikisha unaowa mwanamke bikra. Sawa?
 
Hapa tunaelezwa makosa ya upande mmoja tu, inaonyesha hiyo ndoa ina mambo mengi tu ambayo hatuyajui.
Ni kweli. Na kubwa kuliko yote ni pale mmoja kati ya wanandoa kuishi kwa kuigiza
 
duuh huwa najiuliza sana sijui itakuaje maisha yangu ya ndoa, mana mpka mwili unasisimka aisee, yan kuchapiwa mke wangu kiraisi hvo. huyo jamaa ambwage tu huyo demu maisha yaendelee. yan hafai hata kwa vocha.
Usilolijua ni kama USIKU WA Giza.
 
Binafsi siungi mkono kwa namna yoyote ile mwanaume kumpiga mke wake.

"Mwanamke mzuri asie na akili ni sawa na Pete ya dhahabu kwenye pua ya nguruwe ".
 
Back
Top Bottom