Maamuzi mengine katika ndoa ni hatari

Maamuzi mengine katika ndoa ni hatari

haki ya nani nikijenga nyumba nikigundua nimepakana na jirani mmbeya kama wewe,nauza nyumba natafuta sehemu nyingine,habari ndogo tu hii umekimbilia jf?
Nini Maana ya ujirani mwema???
 
hahaaaaaa hivi muhusika kakusimulia au ulikusanya data mwenyewe
 
Jamaa ; "Nimemvumilia kwa mengi sana. Niligundua kuwa ana HIV+ miaka 8 iliyopita, tayari tulikuwa na mtoto mmoja. Nikamsamehe. Nashukuru Mungu , Mimi na wanangu hatuna HIV+ ;

Katembea na majirani zangu mpaka kwenye Kitanda CHETU. Nimemsomesha chuo na akapata Kazi.

Kama mwanamme, sikutaka kabisa kujua anapata mshahara kiasi gani, mara nyingi nimekua nikimhudumia vyema pale ninapokuwa nina uwezo. " Nukuu za jamaa
huyo jamaa mzima? masihara hayo. kabla ya kuoa hakuona wanawake wengine? au domo zege?
 
Jamaa ; "Nimemvumilia kwa mengi sana. Niligundua kuwa ana HIV+ miaka 8 iliyopita, tayari tulikuwa na mtoto mmoja. Nikamsamehe. Nashukuru Mungu , Mimi na wanangu hatuna HIV+ ;

Katembea na majirani zangu mpaka kwenye Kitanda CHETU. Nimemsomesha chuo na akapata Kazi.

Kama mwanamme, sikutaka kabisa kujua anapata mshahara kiasi gani, mara nyingi nimekua nikimhudumia vyema pale ninapokuwa nina uwezo. " Nukuu za jamaa
Umejitaidi sana na hongera Kwa uvumilivu wengine huwa tunashindwa
 
Jamaa ana unconditional Love!
sio sawa. umesema kabla hajamuoa alitambua ni kicheche, kwa hali hii demu hakupaswa kuolewa. maana hali ya ukicheche imeleta kitu kilichotegemewa(HIV/AIDS)
 
unachofanya ni kuingilia ndoa ya watu,kwani hujui ndoa ni fumbo??we umeoa au bado?
Ndoa ni fumbo la Imani. Bila shaka huelewi "Imani" ni nini. Ninachofanya si kuingilia ndoa ya jamaa bali natimiza amri kuu ya Mungu " Mpende Jirani yako kama Nafsi yako".

Baadae , nitamuonyesha jamaa comments zenu zote ili aweze kuchanganya na mawazo mengine + afanye maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Sio kukurupuka. Hii ndio maana halisi ya MMU JF.
 
mtoa mada yupo sawa kutujuza. japo namuomba achambue vya kufikisha, sio vyote vyafaa.
 
sio sawa. umesema kabla hajamuoa alitambua ni kicheche, kwa hali hii demu hakupaswa kuolewa. maana hali ya ukicheche imeleta kitu kilichotegemewa(HIV/AIDS)
Kutokana na maelezo ya jamaa, hakuwa anajua kuwa mkewe ana HIV+ kwa muda mrefu. Mkewe alimficha. Na sasa anatimiza zaidi ya miaka 11 akiwa na gonjwa hilo huku jamaa akiwa hana.
 
Back
Top Bottom