Maalumu kwa wachepukaji

Maalumu kwa wachepukaji

Mimi nimeseviwa kama Fred Brazil, yaani nimechukia kweli
 
Kakusevu vizuri, ingekuwa mimi du! ungepata kiharusi nakwambia. I reserve my comment
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

Bongo dharau ndiyo inayotufanya tufikirie kukaa na tai ofisini ndio kutengeneza pesa. Mataifa yaliyoendelea fundi mzibua vyoo ana pato la juu kuliko hawa wanaojidai maofisni ndani ya viyoyozi. Mwenzako mzibua vyoo kwa saa anatengeneza zaidi ya $ 70 wakati unayeishi mjengoni kwenye viyoyozi kwa saa $15 -30. Wapi na wapi? Tafuta ajira yenye kukupa mshiko wa uhakika ndio mpango mzima wa kiuchumi.
 
Mkuu kwenye mchepuko kipaumbele chako ni k au ulivyoseviwa katika Cm? mimi sijali ninavyoseviwa ninajali kupata huduma tu.
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

Yaaan umenichekeshaaaaaa pole sanaaa sasa si mchepuko tu we unataka akusave nanii wakati ananijua we ni mchepuko
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

Ha ha ha muraaaa acha kuchepuka. Next tyme atasave fundi majeneza
 
Mmmh! kwanini akusave hivyo mbona kama sio kweli Muraa!
 
Ha ha ha muraaaa acha kuchepuka. Next tyme atasave fundi majeneza

Sasa wao wanadhani hiyo michepuko ni wa kwao peke yao, wee uoe kwingine mi niwe mchepuko halaf nikupende kwa lipiii nakusave fundi bafu kabisaa
 
Umeonaee lazima aandikwe jina lolote cos kuna mmiliki yeye part time tu
Afurah hat no yake imeisave
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

Kuna ubaya gani kupewa jina hilo wakati wewe mwenyewe unapenda kuzibua choo chake? Madhara ya hako kamchezo ni kuziba mrija wa uume wako, kutosimamisha hadi upelekwe kwenye hicho choo. Usishangae siku moja ukishindwa kumpa mkeo mambo ya ndoa.
 
Mimi nashangaa hata kama akikusave fisi kuna taabu gani? Umechepuka ndio issue!!! Teh!... Teh.
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

Daaaaaah!! aiseeee! mbaya sana.
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

hahaha pole sana nimechekaajeee! af hm choo kimezeibaaaaaa! tulia na mkeo
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

huo ni mchepuko au nyumba ndogo mzee, yaani umpitie daily umuachie hela ya lunch na bia daily bado waita mchepuko c nyumba ndogo noop nyumba kubwa hiyo kabisa
 
Maybe siko mwenyewe,,wazibua vyoo tuko wengi.

Mi na umri wangu huu sijawahi sikia mchepuko unaojijua kwamba wenyewe ni mchepuko halafu uwe na mwanaume mmoja...Wewe ukiwa umelala na mkeo yeye alale na nani!?
 
Back
Top Bottom