Maalumu kwa wachepukaji

Maalumu kwa wachepukaji

Tena apo washukur nmewasev zaman nlikua sisevu inakua namba tupu...asa kipi bora kuseviwa au kutoseviwa na hao nmewasev ivo coz nawaheshim sana

mie sikuwezi kabisa. Lakini huwa unajisikiaje kusave majina ya ajabu hivyo?
 
Jiulize mchepuko wako umekusevu kwa jina gani,me nimeifumania cm ya mchepuko wangu nikaamua kucheck kanisevu kwa jina gani yani!!hapa nilipo sina hamu nae,nilitegemea kukuta jina zuri mh majanga,nimekuta kanisevu kwa jina la mmh!! napata shida kulitamka nimembwaga,wale wanachama wa michepuko ebu leo kagua cm ya mpz wako utuletee mrejesho.

Mwenzio nmeseviwa kwa plate namba.
 
mie sikuwezi kabisa. Lakini huwa unajisikiaje kusave majina ya ajabu hivyo?

Yan hata presha sna....coz cm yenyewe ina password kila kona sjui wakitaka jua majina yao wataona vp
 
Ninachokuonea huruma ni kwamba hauko peke yako...hilo tu ndio linatia mashaka makubwa.
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

sasa ikiwa unakula 0713 lazima uitwe fundi mzibua vyoo...
 
Yan hata presha sna....coz cm yenyewe ina password kila kona sjui wakitaka jua majina yao wataona vp

Mmh! Hii ni hatari sana. Kumbuka na nyinyi pia hamjijui mko wangapi.
 
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

Hahahaha umenchekeshaa.. Muhonge zaid waweza pewa cheo zaidi walau ukaitwa dobi
 
Huyo mchepuko wake alimsave kama "Don't answer"

Last edited by a moderator:
Not that name,kila day ya kazi najitahidi kumpitia na kimkweche changu nampeleka job huku namwachia hela ya lunch na jioni naulizwa bby uko wapi nna hamu na bia kama kawaida leo naitwa FUNDI MZIBUA VYOO 2!! hatari.

acha uongo.........
 
Jiulize mchepuko wako umekusevu kwa jina gani,me nimeifumania cm ya mchepuko wangu nikaamua kucheck kanisevu kwa jina gani yani!!hapa nilipo sina hamu nae,nilitegemea kukuta jina zuri mh majanga,nimekuta kanisevu kwa jina la mmh!! napata shida kulitamka nimembwaga,wale wanachama wa michepuko ebu leo kagua cm ya mpz wako utuletee mrejesho.
Wewe mwenyewe umeshindwa kutaja, sasa unategemea nani akupe mrejesho ,,, onyesha njia kwanza!
 
Back
Top Bottom