jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,375
- 25,453
Mkuu sasa kama ni mchepuko si ndiyo maana yake ili asishtukiwe? Daah! Mwizi wa mali za watu halafu unataka uwekwe jina lako?Thanx nimemtumia ujumbe hivyo2 now nasubiri atasemaje.
Unajuwa mwanzoni nilidhani wewe ndo ke, maana cjakuelewa.Ni yeye anayechepuka, wewe, ama wote?
Ebu sema wewe, ulitaka aweke jina gani ambalo halitashtukiwa endapo ni yeye amechepuka?
Kama ni wewe ndo mchepukaji, basi chunguza sana, pengine ni wote mnachepuka!