Maalumu kwa wachepukaji

Maalumu kwa wachepukaji

Tarime one, eti nini??? Fundi mzibua vyoo 2, ina maana kuna mzibua vyoo 1. Hahahaaaaa

Itakuwa huwa mnamzibua choo huyu. Acha tabia hiyo.

Sina tabia hiyo hata kutamani sijawahi,eti ananipigia cm bby niko mlimani nipitie nashindwa hata nimjibu nini.
 
Sina tabia hiyo hata kutamani sijawahi,eti ananipigia cm bby niko mlimani nipitie nashindwa hata nimjibu nini.

Teheteheheeee, Pole mkuu. sasa unahitaji maombi gani, kipi kinakushinda kumpiga chini. Uamuzi wa kuacha ama kuendelea ni wako mkuu. Labda ingekuwa mke kweli tungeshauri, hata michepuko nayo inahitaji ushauri kuiacha?
 
wewe mwambie nimepata tenda ya ghafla kwenda kuzibua vyoo sehemu. Inatosha kabisa hiyo halafu atajiju

Thanx nimemtumia ujumbe hivyo2 now nasubiri atasemaje.
 
Just nashangaa hata nimeshindwa nimfanyeje huyu mdada coz nilikua namheshimu sanaaa.

Mbona unajiumiza na nimchepuko tu mchane live au mpe date alafu uombe kumzibua choo kama alivyo kusev
 
Mbona unajiumiza na nimchepuko tu mchane live au mpe date alafu uombe kumzibua choo kama alivyo kusev

No nimetupilia kule,ngoja nijilipua hapa calabash akili ibalance nipozemachungu ya kushushiwa hadhi.
 
Kama kansevu vibaya atajijua coz me nmewasevu
1.phone no

2.mobile no
 
Pole sana kwa yalikukuta mimi mwenyewe yalishanikuta, nikawa nimeseviwa Khadija Kileja tokea siku hiyo sijawahi mtafuta tena.
 
Back
Top Bottom