Maalum kwa wanaume,usipite

richenriques

Senior Member
Jun 6, 2015
188
33
Kwa wanaume wanaosumbuliwa na kutokwa na upele baada ya kunyoa ndevu,au kupata harara, sabuni nzur ya north for men inafanya maajabu, upele wote unapotea, pia kuna sabuni ya kuogea, age control system ambayo huzuia kupata makunyanzi usoni.. Seti inapatkana kwa 41000,sabuni pekeake 6000
e2fe529d1790f87a5bc382801a01449b.jpg
f854f56bb25cb68218e5e26aa6a54538.jpg
 
No value for money! Wabongo tuache kukazana na hizi bidhaa za makampuni ya network marketing kama Oriflame, Forever Living, GNLD nk na badala yake tukazane na bidhaa za makampuni yenye bei nafuu na zenye ufanisi mzuri. Kuna makampuni ya bidhaa kama NIVEA, FA, DETTOL, REVLON, UNILEVER, VASELINE nk hawa wote bidhaa zao huwa na ufanisi mzuri na gharama zao huwa ni reasonable tu.
Tuachane na hizo biashara za kujazana maneno mengi na sifa nyingi zaidi
 
nmekusoma Trevo je
 
nmekusoma Trevo je
Na TREVO pia ni wale wale, network marketing and no value for money. Mbaya zaidi kwa TREVO ni kwamba wauzaji wake wanataka kuwaaminisha watu kwamba TREVO ni dawa kwa magonjwa na hata kwa magonjwa sugu basi TREVO ndo mwisho wa matatizo. Ijulikane kwamba TREVO ni virutubisho tu yaani vitamini na madini. Kwa hiyo mtu asije akaacha kutumia dawa za kisukari, kansa, ukimwi, fangasi na magonjwa mengine yote wanayosema kwamba inatibu kwa kutegemea TREVO
 
No value for money! Wabongo tuache kukazana na hizi bidhaa za makampuni ya network marketing kama Oriflame, Forever Living, GNLD nk na badala yake tukazane na bidhaa za makampuni yenye bei nafuu na zenye ufanisi mzuri. Kuna makampuni ya bidhaa kama NIVEA, FA, DETTOL, REVLON, UNILEVER, VASELINE nk hawa wote bidhaa zao huwa na ufanisi mzuri na gharama zao huwa ni reasonable tu.
Tuachane na hizo biashara za kujazana maneno mengi na sifa nyingi zaidi
Kila kitu kwenye maisha ni uamuz, wew waweza ona gharama, mwingine akaona nafuu, na siku zote cheap is expensive.... Its not about bei, its about well being....
 
Back
Top Bottom