Maalimu Seif ni mvumilivu sana

Maalimu Seif ni mvumilivu sana

Siasa hazigandi siasa zinabadilika kwa hiyo japo unachosema sio kweli lkn kwa sasa wanzabar walio wengi wanataka mamlka kamili
Soma makala zipo waandishi ameandika wengi tu ndio utajua ninachosema ni kweli au si kweli maalim ni m-binafsi mmoja hv atakusumbua wengi lkn ukweli Ndio huo
 
Sio uvulimivu ni mazingira yamemfanya hivyo...Wazanj na watanganyika hawana ubavu wa kukinukisha.Ni waoga mnoo.So hata akilianzisha ataishia Segedansi kama Abdulrahmani Babu enzi hizo.
 
Hata wakirudia CUF walishindwa bado CCM wanataka Uchaguzi urudiwe.Maana kwa CCM uchaguzi ni huru pale tu inapopata nafasi ya kuiba kura. CCM Z'bar haijawahi kushinda toka 2000
 
Mbona mlishindwa kumvumilia Slaa, Zitto, Chacha Wangwe (R.I.P) nk!
zito yule ni double agent....na ni mpigaji......slaa hajafukuzwa chadema...akitaka arudi...chacha chadema inamheshimu siku zote
 
maalim seif anawapenda sana wazanzibar na nina hakika haki yake atapewa tu .
 
Safari ikulu hakutakalika kwa CCM. Na kama wanataka kuonja sumu kwa kuinywa basi wajaribu.
 
Soma makala zipo waandishi ameandika wengi tu ndio utajua ninachosema ni kweli au si kweli maalim ni m-binafsi mmoja hv atakusumbua wengi lkn ukweli Ndio huo
kwani maalim seif ndio mpiga kura? waliopiga kura ni wazanzibar
 
Siasa hazigandi siasa zinabadilika kwa hiyo japo unachosema sio kweli lkn kwa sasa wanzabar walio wengi wanataka mamlka kamili
Katika dunia hii uwezi kuficha ukweli kikubwa ni muda tu msome joseph mihangwa ktk raia mwema khs nn kilitokea khs Alhaji aboud jumbe ndio utajua maalim seif ni mtu wa aina maalim seif ni mnafiki moja tu ana nia kbs ya kutaka zanzibar iwe na mamlaka kamili hivi unajua doctar Amani karume alikuwa anataka serikali ya kitaifa toka mwaka 2005 ila seif ndio alikuwa anapiga chenga
 
..some would say there is a very thin line between tolerance and cowardice.
and the two terms are "relatives". in the end it's a matter of opinion; what seems to be cowardice may actually be tolerance. Whose opinion is it anyway?
 
Maalim Seif ni mvumilivu sana hasa kwenye ulingo wa mambo ya kisiasa.

Maalim Seif ni mwanasiasa ambaye atakuja kukumbukwa na ataandikwa kwenye historia ya taifa hili kama mwanasiasa aliyedumisha Amani ndani ya nchi hii.

Maalm Seif huyu ni mwanasiasa jasiri ni mkweli pia anastaili kuigwa.

CCM Kaeni na muungwana huyu mzungumze naye mumpe haki yake mapema haraka iwezekananyo.
Kuna siku utakuja kuelewa kwa nini anavumilia! Stay tuned!
 
Katika dunia hii uwezi kuficha ukweli kikubwa ni muda tu msome joseph mihangwa ktk raia mwema khs nn kilitokea khs Alhaji aboud jumbe ndio utajua maalim seif ni mtu wa aina maalim seif ni mnafiki moja tu ana nia kbs ya kutaka zanzibar iwe na mamlaka kamili hivi unajua doctar Amani karume alikuwa anataka serikali ya kitaifa toka mwaka 2005 ila seif ndio alikuwa anapiga chenga
kwa taarifa yako asilimia 87 ya wanzazibari wanataka mamlaka kamili. CCM haitakiwi visiwani si Pemba si Unguja.
 
kwa taarifa yako asilimia 87 ya wanzazibari wanataka mamlaka kamili. CCM haitakiwi visiwani si Pemba si Unguja.
Sio asilimia 87 kiu kweli ni asilimia 99 ya wazanzibar wanataka mabadiliko tatizo langu kubwa maalim seif yy ndio aliezuia mabadiriko mwaka 1985 ina maana leo hii yy ndio anataka mabadiriko
 
wanzanzibar wengi wana elimu ya uria,cuf zanzibar wamefanya kazi kubwa sana ya kuwaunganisha wanzanzibar kuwa wamoja cuf wanahitaji pongezi
 
Back
Top Bottom