Maalimu Seif ni mvumilivu sana

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Maalim Seif ni mvumilivu sana hasa kwenye ulingo wa mambo ya kisiasa.

Maalim Seif ni mwanasiasa ambaye atakuja kukumbukwa na ataandikwa kwenye historia ya taifa hili kama mwanasiasa aliyedumisha Amani ndani ya nchi hii.

Maalm Seif huyu ni mwanasiasa jasiri ni mkweli pia anastaili kuigwa.

CCM Kaeni na muungwana huyu mzungumze naye mumpe haki yake mapema haraka iwezekananyo.
 
Maneno yake yanahatarisha muungano

Rais wa jamhur ya muungano anaapaa kuulinda muungano sasa umagusa muungano ni kama umegusa system
atahatarishaje muungano wakati muungano uko kikatiba?
maalim yeye anataka mamlaka kamili ya kuamua mambo yao bila kuingiliwa hovyo,mbona ni mambo ya kawaida tu yapo duniania kote ambapo nchi mbili zimeungana?
 
Maalimu seif ni mnafiki anae teswa na unafiki wake wakt kina mzee jumbe wanataka kuipa Zanzibar mamlaka kamili yy pamoja na mnafiki mwenzie komandoo walisariti harakati leo hii anajifanya kutaka kuwapa wazanzibari mamlaka kamili nini huo km sio unafiki wa hali ya juu
 
..some would say there is a very thin line between tolerance and cowardice.
 
Kunavichwa vingine sijui vimetunza nini kichwani uvumilivu wake uko wapi kwa sasa au unavuta sigara kubwa mkuu.
 
Hivi kuna mtu kasema eti ni mshelisheli sio mtanzania, kuna ukweli hapo? Avumilie tu arudie uchaguzi
 
Maalimu seif ni mnafiki anae teswa na unafiki wake wakt kina mzee jumbe wanataka kuipa Zanzibar mamlaka kamili yy pamoja na mnafiki mwenzie komandoo walisariti harakati leo hii anajifanya kutaka kuwapa wazanzibari mamlaka kamili nini huo km sio unafiki wa hali ya juu
Siasa hazigandi siasa zinabadilika kwa hiyo japo unachosema sio kweli lkn kwa sasa wanzabar walio wengi wanataka mamlka kamili
 
Maalim Seif ni mvumilivu sana hasa kwenye ulingo wa mambo ya kisiasa.

Maalim Seif ni mwanasiasa ambaye atakuja kukumbukwa na ataandikwa kwenye historia ya taifa hili kama mwanasiasa aliyedumisha Amani ndani ya nchi hii.

Maalm Seif huyu ni mwanasiasa jasiri ni mkweli pia anastaili kuigwa.

CCM Kaeni na muungwana huyu mzungumze naye mumpe haki yake mapema haraka iwezekananyo.
unaeza dhani ni uvumilivu kumbe ni uoga ama mtumiko
 
Back
Top Bottom