Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Mkoloni wa kiarabu yupo nyuma yao mkononi ana tende na halua, udenda unamtoka kwa uchu.

Ttzo unashindwa kutofautisha kati ya cuf na zanzibar,z'br ni ya waz'br c ya cuf,waz'br wanataka nchi yao wamechoka kutawaliwa na mkoloni mweusi.
 
kama hawataki wamuambie rais wao tu haya sio mambo ya kuandamana
 
ishu ya kiliberali itamalizwa na waliberali wenyewe........
 
nakiomba chama cha CUF kiachane na Liberal International, ambayo ukifuatilia kwenye website yao utagundua kwa sasa wanaushikia bango USHOGA. Kosa ni kurudia kosa. ni kweli zamani walikuwa marafiki wazuri, lakini sasa Liberal International ni marafiki wabaya.
 
Muda mfupi uliopita nimemsikia Maalim Seif Sharif Hamad kwenye taarifa ya habari ITV akiwahutubia wananchi katika mkutano huko Zanziba kwa kusema " Anataka rasimu ya katiba inayotarajiwa kuwasilishwa kwa wananchi iwe na kipengele kinachotoa mamlaka kamili ya Zanzibar.

Pia amesema rasimu hiyo lazima itambue uwepo wa uraia wa nchi mbili yaani itambue kuwepo kwa raia wa Zanzibar na Raia wa Tanganyika. Hakuishia hapo akazidi kusisitiza kuwa kuna asilimia 60% ya Wazanzibar wanataka uwepo na mamlaka kamili ya Zanzibar, hivyo anataka kuona ni kiongozi gani atawapinga hao watu wengi i.e 60% ya wa Zanzibar.

Akamalizia kwa kusema SAWA SAWA?

SOURCE:HABARI ITV saa 2:00 usiku 1/6/2013.
 
Hivi sisi upande wa Tanzania bara kwanini tunahangaika na watu ambao hawataki muungano na teyari wameonyesha dalili zote za kutokutaka kuendelea na muungano?

Akionge katika mkutano huko Zanzibar leo hii,makamu wa pili wa raisi wa Zanzibar,Maalimu Seif Shariff Hamadi amefikia hatua ya kusema hata swala la uraia lisiwe la muungano!Alifafanua kuwa kuwe na uraia wa Zanzibar na uraia wa Tanganyika!Na kibaya zaidi alishangiliwa na umati wa watu waliohudhuria mkutano huo.

Sasa wadau huo ni mfano mmoja tu wa kauli zenye kuonyesha kuwa hawataki tena muungano.Kwa maana hiyo basi kwanini tusivunje huu muungano?Kwanini sisi watu wa bara tuonekane kulazimisha muungano?Hivi muungano ukivunjika leo ni uaoande gani wa muungano utakaoathirika zaidi kama siyo Zanzibar?.

Ukweli ni kwamba watakaoathirika zaidi kisiasa,kiuchumi na kijamii ni wazanzibari.

Mtoto akililia wembe mpe!
 
kama kuna mtu anaweza kuutetea muungno basi na yeye afanye mkutano kama seif na moyo
 
Hii Serikali ya Mseto ya Zanzibar haina uwajibikaji wa pamoja?Yeye si Makamu wa Kwanza wa Rais?.Akajadiliane na wenzake kwenye BARAZA LA MAPINDUZI ili waje na kauli moja ya SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.Tofauti na hapo tutajua huu Muungano wao na CCM ni Usanii mwingine wa Kisiasa.
 
Wakuu, as Days goes on mie nimekuwa nawashangaa sana wenzetu, Waliberali wa CUF.
Leo Maalim Seif alikuwa Zanzibar kwenye Harakati za Kudai Zanzibar Huru.
Zanzibar yenye Mamlaka Yote, hii ikifanikiwa inamaana kuwa Hakuna Mungano.
Cha ajabu Huyu huyu Mzee, Maalim Seif pamoja na wa Liberali wenzake wa CUF, wanasema Lipumba ndo Rais 2015????????
Haya wameyasemea Morogoro, Tanganyika.
Natatizika hapa, Hawa Jamaa CUF wanataka kutawala Tanganyika na Zanzibara???????
Kuna Sabababu gani ya the Same Maaliim Seif Kudai Mamlaka kamili ya Zanzibar and at the same time Kuja Tanganyika.
Kudai Uuungwaji Mkono na Wa Tanganyika.
Maalim Seif anadai Mamlaka Kamili ya Zanzibar kwa Kofia ya CUF.
Maalim Seif huyu huyu anakuja Tanganyika tena kuomba Wa Tanganyika waunge Mkono CUF????
Jamani Mbona Wa Liberali CUF wamechanganyikiwa hivyo, Mbona Mwana Ndoa mwenzao CCM hafanyi hayo??????
Hivi Wakuu, Liberal Lipumba kwani ni Mzanzibar????

Hebu tujadilini jamani, hawa Wa Liberali wa CUF ni nini hasa wanataka

Kwa kweli sipendezewi na namna unavyoutumia msamiati wa LIBERALI kwa viongozi wetu wa CUF. Kwa namna alivyouelezea Wenje Uliberali pale dodoma, nakuomba sana uachane na hizi kauli za kuwaita viongozi wetu wa kitaifa waliberali. Yaani unanifanya niwaangalie vyengine kabisa ktu ambacho sipendi.
 
Ttzo unashindwa kutofautisha kati ya cuf na zanzibar,z'br ni ya waz'br c ya cuf,waz'br wanataka nchi yao wamechoka kutawaliwa na mkoloni mweusi.

bahati yenu mmekutana na watanganyika watu wapole maana ingekuwa amri yangu ningeshaamrisha masela kuanza kuchoma maduka na majengo yote ya wapemba huku bara.nyie ngojeni tutawashikisha adabu siku si nyingi maana mnajifanya mnajua kuchonga sana.
 
Upole wenu ndio unao pelekea mafisadi watambe na wachina waondoke na dhahabu zenu.
 
Huyo mreberali Seif (a sultan bastard) anachotaka ni kurudisha utawala wa kisultani tu. Nyerere alimuona mapema akamdhibiti naona sasa ankuja kivingine. Kwa msiomjua ana damu ya sultani aliyeondolewa na Karume. hapo zanzibar patakuwa bifu, yangu macho tu.
 
kama kuna mtu anaweza kuutetea muungno basi na yeye afanye mkutano kama seif na moyo

Hakuna mtanganyika atakae weza,hoja zao muflisi,ingekuwa matusi watanganyika wangeweza.
 
Hii Serikali ya Mseto ya Zanzibar haina uwajibikaji wa pamoja?Yeye si Makamu wa Kwanza wa Rais?.Akajadiliane na wenzake kwenye BARAZA LA MAPINDUZI ili waje na kauli moja ya SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR.Tofauti na hapo tutajua huu Muungano wao na CCM ni Usanii mwingine wa Kisiasa.
kwenye baraza la mapinduzi kuna mapandikizi ya mkoloni mweusi,unategemea nn hapo?
 
Huyo mreberali Seif (a sultan bastard) anachotaka ni kurudisha utawala wa kisultani tu. Nyerere alimuona mapema akamdhibiti naona sasa ankuja kivingine. Kwa msiomjua ana damu ya sultani aliyeondolewa na Karume. hapo zanzibar patakuwa bifu, yangu macho tu.

Sasa mnaumia nn watanganyika kurudi kwa sultan?mbona huko kwenu tanganyika rais wenu anapishana kwa ndege kabeba neti wakati wazungu na wachina ndege zao zimebeba dhahabu za tanganganyika?
 
Wakuu, as Days goes on mie nimekuwa nawashangaa sana wenzetu, Waliberali wa CUF.
Leo Maalim Seif alikuwa Zanzibar kwenye Harakati za Kudai Zanzibar Huru.
Zanzibar yenye Mamlaka Yote, hii ikifanikiwa inamaana kuwa Hakuna Mungano.
Cha ajabu Huyu huyu Mzee, Maalim Seif pamoja na wa Liberali wenzake wa CUF, wanasema Lipumba ndo Rais 2015????????
Haya wameyasemea Morogoro, Tanganyika.
Natatizika hapa, Hawa Jamaa CUF wanataka kutawala Tanganyika na Zanzibara???????
Kuna Sabababu gani ya the Same Maaliim Seif Kudai Mamlaka kamili ya Zanzibar and at the same time Kuja Tanganyika.
Kudai Uuungwaji Mkono na Wa Tanganyika.
Maalim Seif anadai Mamlaka Kamili ya Zanzibar kwa Kofia ya CUF.
Maalim Seif huyu huyu anakuja Tanganyika tena kuomba Wa Tanganyika waunge Mkono CUF????
Jamani Mbona Wa Liberali CUF wamechanganyikiwa hivyo, Mbona Mwana Ndoa mwenzao CCM hafanyi hayo??????
Hivi Wakuu, Liberal Lipumba kwani ni Mzanzibar????

Hebu tujadilini jamani, hawa Wa Liberali wa CUF ni nini hasa wanataka

Hivi Tanganyika Jamani watakuwa watumwa mpaka lini kwanini wanaona Aibu kudai uhuru wa nchi yao Tanganyika? kama vile Wazanzibari wanavyodai ya kwao?
 
Wakuu, as Days goes on mie nimekuwa nawashangaa sana wenzetu, Waliberali wa CUF.
Leo Maalim Seif alikuwa Zanzibar kwenye Harakati za Kudai Zanzibar Huru.
Zanzibar yenye Mamlaka Yote, hii ikifanikiwa inamaana kuwa Hakuna Mungano.
Cha ajabu Huyu huyu Mzee, Maalim Seif pamoja na wa Liberali wenzake wa CUF, wanasema Lipumba ndo Rais 2015????????
Haya wameyasemea Morogoro, Tanganyika.
Natatizika hapa, Hawa Jamaa CUF wanataka kutawala Tanganyika na Zanzibara???????
Kuna Sabababu gani ya the Same Maaliim Seif Kudai Mamlaka kamili ya Zanzibar and at the same time Kuja Tanganyika.
Kudai Uuungwaji Mkono na Wa Tanganyika.
Maalim Seif anadai Mamlaka Kamili ya Zanzibar kwa Kofia ya CUF.
Maalim Seif huyu huyu anakuja Tanganyika tena kuomba Wa Tanganyika waunge Mkono CUF????
Jamani Mbona Wa Liberali CUF wamechanganyikiwa hivyo, Mbona Mwana Ndoa mwenzao CCM hafanyi hayo??????
Hivi Wakuu, Liberal Lipumba kwani ni Mzanzibar????

Hebu tujadilini jamani, hawa Wa Liberali wa CUF ni nini hasa wanataka

CHADEMA nilikuwa nawakubali sana lakini kumbe ni SAMAKI No.2.,, Kama CUF ni Liberal CHADEMA ni nani? mana chadema viongozi wake wakuu ni wakiristu na wakiristu tunawajuwa kazi zao, kule kanisani kuna siku taa huwa zinazimwa halafu hupapasana sehemu zao kike kwa kiume hadi kweupe asubuhi, Nani Mliberali?
 
:heh:Nje ya muungano hakuna wazanzibari,kuna waunguja na wapemba.Mnajidanganya,hapo kuna Maslahi ya wachache,wanatumia u mbumbu Wa wananchi kufanikisha mission Yao.Maalim Seif Sasa amezeeka hana ubavu tena,sio Yule Wa Zamani,kwanza kawaacha wenzake kwenye mataa ,yeye anakula bata Ikulu.Ila atambue kuwa akifanya uhaini jela inamchekea.
 
ttzo unashindwa kutofautisha kati ya cuf na zanzibar,z'br ni ya waz'br c ya cuf,waz'br wanataka nchi yao wamechoka kutawaliwa na mkoloni mweusi.

chezea mdebwedo wewe, wenzako wataka kulishwa tende na halua na mwarabu atiiii!!
 
Back
Top Bottom