Maalim Seif: Tumepokea barua kutoka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na tunaifanyia kazi

Naunga mkono hoja,
na wasipo jiunga, sio tuu inakula kwao, bali itakuwa ni uthibitisho huu kwa baadhi ya viongozi wa vyama.

P
wapinzani hatuna cha kupoteza kwasababu vyote vilishapotea kupitia nyie vijibwa vya CCM venye uchu wa vyeo na tenda za serekali.

Tena wewe bora ukae kimya maana umeshiriki vyema kwenye wizi wa kura uliofanyika Kawe.
 
Naunga mkono hoja,
na wasipo jiunga, sio tuu inakula kwao, bali itakuwa ni uthibitisho huu kwa baadhi ya viongozi wa vyama.

P
Hata hivyo imesha kula kwao, wananchi wamesha wakataa watamuakilisha nani serikalini?
 
Naunga mkono hoja,
na wasipo jiunga, sio tuu inakula kwao, bali itakuwa ni uthibitisho huu kwa baadhi ya viongozi wa vyama.

P

Watu wa aina yenu ndiyo mlikuwa wa kwanza kupokea hela ya mwarabu na mzungu ili kuuza ndugu zenu utumwani, kwa kisingizio kuwa hata usipoichukua hiyo hela watawapata hao watumwa kwa njia nyingine anyway
 
Kwa hiyo kikubwa cha maana ulichookiona chenye manufas kwa Wazanzibar ni Maalimu kupigiwa saluti?

Maalimu akiingia huko, Wazanzibar watamhukumu kwa katuni hii hapa chini:View attachment 1631401
Unadhani atakula wapi akiringaringa..wakati umri wake umeshayoyoma...aende afaidi mamlaka mara ya mwisho mwisho..umri umeahamtoka..oooh...na ndio maana wananchi waliona ni kheri wachague kijana kuliko huyo shkamoo...wananchi Wana akili Sana...na Mungu anawaongoza
 
Mkiungana itakuwa rahisi sana kupambana na watesi wenu kuliko mkiwa nje.

Mkipewa umakamu wa Rais na uwaziri hao wote waliowatesa na kuua wanachama wenu watakuwa wanawapigia saluti ni rahisi kuwanyoosha kuliko mkiwa nje mnaongea kupitia Twitter.

Vita ikianzia ndani ni rahisi kushinda kuliko ikianzia nje.

MKIWA NDANI YA SERIKALI MTAKUWA NA NGUVU YA PESA NA NGUVU YA KIMAMLAKA.

tumieni akili.

Njaa za Zitto na Maalim kwa umoja wake ni hatari kuliko utawala haramu tulionao. Wanakataa matokeo ila wanakubali nafasi zinazotokana na uchaguzi haramu. Hawa sio wa kuwaamini.
 
Zitto kataa kuhalalisha haramu

Kumbukeni, lengo lenu siyo kugawana vyeo au kuitwa kwenye meza ya karamu ya kula.

Lengo lenu ni Tanzania na Zanzibar yenye haki.

Nimkumbushe Maalim tu kuwa hata mtume Muhammad aliahidiwa kila aina ya vyeo na wapagani wa Makka ili aachane na movement yake ya kutangaza uislamu, walimuahidi mali hata wanawake warembo lakini alikataa kwa sababu ya noble course yake

ACT msiwasaliti wananchi, tutapoteza imani nanyi kabisa!

Kikubwa kingine, fahamuni kuna dua nyingi watu wameomba kumshitakia Mungu juu ya watakaotenda dhulma kwenye uchaguzi huu. Mkiingia kwenye serikali hiyo haramu mmejiingiza wenyewe katika shimo la madhalimu, nanyi mtakuwa madhalimu!
Kwa hiyo tuendelee kususia na tuendelee kupigwa bakora mitaani. Ukiwa mpizani ukose ajira. Kumbukeni wazanzibar wengi waliokuwa upinzani wamepata ajira kipindi cha SUK.

Mitaani huku ukiwa ccm watu hawazikani siasa hizi zishapitwa na wakati cha kufanya tukae nao karibu ili tujue mipango yao
 
Zitto ACT Wazalendo Kwa kweli ACT wakikubali hii, sitakaa nipige kura tena Tanzania hii. ACT itakuwa = CCM tu.
Zitto kataa kuhalalisha haramu

Kumbukeni, lengo lenu siyo kugawana vyeo au kuitwa kwenye meza ya karamu ya kula.

Lengo lenu ni Tanzania na Zanzibar yenye haki.

Nimkumbushe Maalim tu kuwa hata mtume Muhammad aliahidiwa kila aina ya vyeo na wapagani wa Makka ili aachane na movement yake ya kutangaza uislamu, walimuahidi mali hata wanawake warembo lakini alikataa kwa sababu ya noble course yake

ACT msiwasaliti wananchi, tutapoteza imani nanyi kabisa!

Kikubwa kingine, fahamuni kuna dua nyingi watu wameomba kumshitakia Mungu juu ya watakaotenda dhulma kwenye uchaguzi huu. Mkiingia kwenye serikali hiyo haramu mmejiingiza wenyewe katika shimo la madhalimu, nanyi mtakuwa madhalimu!
 
Maalim hana njaa kama unavyofikiria.
Maalim unaemuona juu ya kushika nyazifa nyingi tu ana nyumba moja tu. Sasa jiulize hao viongozi wako wana ma V8 kibao.
Lolote atakalo amua maalim tupo nae bega kwa bega.
Njaa za Zitto na Maalim kwa umoja wake ni hatari kuliko utawala haramu tulionao. Wanakataa matokeo ila wanakubali nafasi zinazotokana na uchaguzi haramu. Hawa sio wa kuwaamini.
 
Maalimu Seifu tunakuomba toa ushirikiano kwa Rais wa awamu hii Dr. Hussein maaana anadhamira ya dhati kuwaletea wazanzibari wote maendeleo.
 
Zitto kataa kuhalalisha haramu

Kumbukeni, lengo lenu siyo kugawana vyeo au kuitwa kwenye meza ya karamu ya kula.

Lengo lenu ni Tanzania na Zanzibar yenye haki.

Nimkumbushe Maalim tu kuwa hata mtume Muhammad aliahidiwa kila aina ya vyeo na wapagani wa Makka ili aachane na movement yake ya kutangaza uislamu, walimuahidi mali hata wanawake warembo lakini alikataa kwa sababu ya noble course yake

ACT msiwasaliti wananchi, tutapoteza imani nanyi kabisa!

Kikubwa kingine, fahamuni kuna dua nyingi watu wameomba kumshitakia Mungu juu ya watakaotenda dhulma kwenye uchaguzi huu. Mkiingia kwenye serikali hiyo haramu mmejiingiza wenyewe katika shimo la madhalimu, nanyi mtakuwa madhalimu!
Unapoteza muda wako bure tu. Fanyakazi za kujipatia kipato.
 
Maalim hana njaa kama unavyofikiria.
Maalim unaemuona juu ya kushika nyazifa nyingi tu ana nyumba moja tu. Sasa jiulize hao viongozi wako wana ma V8 kibao.
Lolote atakalo amua maalim tupo nae bega kwa bega.
Wakati ameshindwa kulipa deni la Tzs 150 million pale Serena Hotel mpaka ametaganzwa mdaiwa sugu!!
 
Maalim akiingia kwenye serikali hiyo ya dhulma siyo tu kwamba atakuwa amewasaliti Wazanzibari bali atakuwa amesurrender kwa wanyang'anyi.

Atawasaidia kuwapa CCM legitimacy wasiyoistahili, na atakwamisha jitihada ya kufanyika kwa reforms za msingi nchini za kikatiba za upatikanaji wa Tume huru ya Uchaguzi na hata katiba mpya

Atawasafisha wauaji waliovamia Zanzibar kuteka na kupora maamuzi ya Wazanzibar dhidi ya dhambi yao ya kuua, kupiga na kutesa wananchi wa Zanzibar wasio na hatia.

Na kibaya zaidi ACT ikiingia katika serikali hii itaipa serikali ya muungano life Support ya kidiplomasia ambayo inaihitaji sana baada ya dunia kuinyooshea kidole kwa uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu.

Nawaomba wana za ACT, kikubwa na cha msingi siyo kugawana vyeo bali ni reforms za msingi. Tupambane tupate katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, Kama mkijiunga kwenye serikali haranu ya Zanzibar, mtakosa moral authority ya kudai haya mambo kwa nguvu zote kwa sababu na nyie mtakuwa sehemu ya serikali.

Kumpa Maalim umakamu ni kumpoza yeye lakini hakuna manufaa ya maana kwa wananchi wa Zanzibar.

Maalimu kumbuka, hawa wanaotaka kukupa cheo ndiyo haohao waliokufanyia hila kukutoa kwenye CUF. Sasa leo hii uzuri wako kwao umetokea wapi?

ACT, Achaneni na hizi nafasi mlizorushiwa chambo!., Mkihalalisha haya mtakuwa mmeunga mkono udhalimu na nyie mtakuwa sehemu ya udhalimu, Sisi Wananchi tutawadharau na kuwapuuza!

Hivi leo eti maalimu apate kura 19% si ushenzi huo na matusi yaliyoje?

Maalim akikubali kukalia hiyo nafasi wakati wamemfanyia hiyana nzito na kumdhalilisha, Wazanzibar waramuondolea heshima kubwa sana wwliyompa. Ni bora akastaafu kwa heshima akaacha legacy ya kutukuka ya kupigania maslahi ya Wazanzibar badala ya kustaafu huku wakiwa wamemtukana kwa kumpa cheo ambacho wao CCM wwnajua ukweli kuwa alistahili kuwa zaidi ya hapo!.
kumbuka Maalim anafahamu kuwa Zanzibar ni ya MHIMU zaidi kuliko yeye mwenyewe au hata chama chake. na maamuzi atakayo yafanya yatazingatia mustakbali wa wazanzibari wote. ili zanzibari iendelee ni lazima wazibari wote waamue wenyewe kuacha chuki, fitina na majungu na waamue kutanguliza maslahi ya wazanzibari wote kabisa,
naaamini Dr. Hussein Mwinyi ni mtu muafaka ktk wakati huu hivyo Maalim hana budi tu kuungana na kuwafanyia kazi wazanzibari.
mwisho wa siku wazanzibari na zanzibar kwa ujumla inahitaji maendeleo hakuna jambo jingine.
 
Kazi ipo

Ova!
1456109.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom