Maalim Seif Sharif ASALITIWA.

Maalim Seif Sharif ASALITIWA.

Cuf imekula kwao miaka 5 nje ya game ni ishu..no ruzuku no agenda pushing...
 
MAALIM SEIF SHARIF ASALITIWA.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho amesalitiwa na wana mkakati wenzake juu ya mpango wa kugomea uchaguzi wa Marudio uliofanyika leo Zanzibar.

Wanamkakati wa Maalim Seif wakiongozwa na Mansour na Amani Karume wametajwa kusaliti mipango ya kugomea uchaguzi wa marudio baada ya kujitokeza na kushiriki zoezi la upigaji kura, ambapo Mhe Amani Karume kapiga kura katika kituo cha Skuli ya Kiembesamaki na Mansour Yusuph Himid amepiga kura akiwa jela ya Kiinua miguu iliyopo Unguja.

Wawili hawa wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kutoshiriki zoezi la upigaji kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika leo tarehe 20th March 2016.

Jambo hilo pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya uwakilishi kupitia CUF takribani 13 kushiriki upigaji kura na wagombea wa nafasi za udiwani kupitia chama cha wananchi wameshiriki pamoja na kuwepo zuio kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa Chama hicho kwa Zanzibar.

Majina ya wagombea uwakilishi waliojitokeza kupiga kura na majimbo yao mpaka sasa ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (Chake chake)
2. Hijja Hassan Hijja (Kiwani)
3. Abdilahi Jihad Hassan (Mwanakwerekwe)
4. Said Ally Mbarouk ( Gando)
5. Suleiman Simai Pandu (Kijitoupele)
 
Hakuna mapambano yasiyokuwa na vikwazo, hao waliojitokeza ni sehemu ya changamoto. Na hawatatumika kama kinga ya kuzuia haki ya walio wengi isionekane.
Naamini kutakuwa na mengi yatasikika, lakini bado uchaguzi haukuwa wa halali.
 
Kura zirudiwe tena haiwezekani wakamchagua jecha kwa kura nyingi kuliko wagombea wenyewe
 
Majina ya Zanzibar huwa yananifurahisha "JELA YA KIINUA MIGUU"ndio nini ?
 
Acha uchochezi wako wewe hunatofauti na shetani, nia yako wazanzibar waendelee kugombana kijana huo sio uzalendo kabisa!
 
Wee kweli titi moja sijui ulipata cancer ya titi pole kwa maradh yalokusibu
 
MAALIM SEIF SHARIF ASALITIWA.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho amesalitiwa na wana mkakati wenzake juu ya mpango wa kugomea uchaguzi wa Marudio uliofanyika leo Zanzibar.

Wanamkakati wa Maalim Seif wakiongozwa na Mansour na Amani Karume wametajwa kusaliti mipango ya kugomea uchaguzi wa marudio baada ya kujitokeza na kushiriki zoezi la upigaji kura, ambapo Mhe Amani Karume kapiga kura katika kituo cha Skuli ya Kiembesamaki na Mansour Yusuph Himid amepiga kura akiwa jela ya Kiinua miguu iliyopo Unguja.

Wawili hawa wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kutoshiriki zoezi la upigaji kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika leo tarehe 20th March 2016.

Jambo hilo pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya uwakilishi kupitia CUF takribani 13 kushiriki upigaji kura na wagombea wa nafasi za udiwani kupitia chama cha wananchi wameshiriki pamoja na kuwepo zuio kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa Chama hicho kwa Zanzibar.

Majina ya wagombea uwakilishi waliojitokeza kupiga kura na majimbo yao mpaka sasa ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (Chake chake)
2. Hijja Hassan Hijja (Kiwani)
3. Abdilahi Jihad Hassan (Mwanakwerekwe)
4. Said Ally Mbarouk ( Gando)
5. Suleiman Simai Pandu (Kijitoupele)
Wewe huna akili kabisa na inaonekana hujui siasa za ushindani wa kisiasa na hujui nini hadi sasa kimefanyika zenji kazi yako ni kusikiliza tv na radio
 
Back
Top Bottom