Maalim Seif Sharif ASALITIWA.

Maalim Seif Sharif ASALITIWA.

ZOEZI LA UPIGAJI WA KURA YA MAONI VISIWANI KUHUSIANA NA UUNDWAJI WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR - July, 2010.

karume-jpg.331356

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akikabidhi kitambulisho chake cha upigaji kura kwa karani wa kituo cha kupigia kura Asha Mustafa Abdalla, katika Skuli ya Msingi Kiembesamaki, wakati wa zoezi la kura ya maoni Zanzibar

G_3391.JPG

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume akipiga kura yake katika kituo cha kupigia kura cha skuli ya Kiembesamaki, ikiwa ni zoezi la kura ya maoni ya Uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.
Hizo picha mbili tofauri kabisa kwani vest wazizovaa 2010 zilikuwa kama zinavyoneskana kama na jana zilikuwa Red.. na kitu chengine picha ya jana desk moja wamekaa watu wa tume 2 na mmoja ni mwanamme kwani suruali inaonekana na mwaka 2010 amekaa mdada peke yake....
 
MAALIM SEIF SHARIF ASALITIWA.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho amesalitiwa na wana mkakati wenzake juu ya mpango wa kugomea uchaguzi wa Marudio uliofanyika leo Zanzibar.

Wanamkakati wa Maalim Seif wakiongozwa na Mansour na Amani Karume wametajwa kusaliti mipango ya kugomea uchaguzi wa marudio baada ya kujitokeza na kushiriki zoezi la upigaji kura, ambapo Mhe Amani Karume kapiga kura katika kituo cha Skuli ya Kiembesamaki na Mansour Yusuph Himid amepiga kura akiwa jela ya Kiinua miguu iliyopo Unguja.

Wawili hawa wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kutoshiriki zoezi la upigaji kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika leo tarehe 20th March 2016.

Jambo hilo pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya uwakilishi kupitia CUF takribani 13 kushiriki upigaji kura na wagombea wa nafasi za udiwani kupitia chama cha wananchi wameshiriki pamoja na kuwepo zuio kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa Chama hicho kwa Zanzibar.

Majina ya wagombea uwakilishi waliojitokeza kupiga kura na majimbo yao mpaka sasa ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (Chake chake)
2. Hijja Hassan Hijja (Kiwani)
3. Abdilahi Jihad Hassan (Mwanakwerekwe)
4. Said Ally Mbarouk ( Gando)
5. Suleiman Simai Pandu (Kijitoupele)
Safi saaaaana! CCM tutashinda kwa kishindooooooooooo!! Ukisusa sisi twalaaaaaaaa!
 
Amani karume hadi sasa ni mwanachama wa Ccm na Wala si mjumbe wa kamati ya mikakati ya cuf,hao wengine uliowataja dada hakuna hata mmoja aliepiga kura kwa siku ya jana...kama unataka kututhibitishia weka picture Au reliable source
 
Mbona wetu kitambo. Ila basi tu, anashindwa kujitokeza hadharani. Wafahamu october au leo kampigia nani? Yule wetu mpaka kumoyo.
Uyu jamaa nafsi inamsuta maskini maana ukweli anaujua mda mrefu kwa nn ata baba ake alifariki
 
View attachment 331335 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho amesalitiwa na wana mkakati wenzake juu ya mpango wa kugomea uchaguzi wa Marudio uliofanyika leo Zanzibar.

Wanamkakati wa Maalim Seif wakiongozwa na Mansour na Amani Karume wametajwa kusaliti mipango ya kugomea uchaguzi wa marudio baada ya kujitokeza na kushiriki zoezi la upigaji kura, ambapo Mhe Amani Karume kapiga kura katika kituo cha Skuli ya Kiembesamaki na Mansour Yusuph Himid amepiga kura akiwa jela ya Kiinua miguu iliyopo Unguja.

Wawili hawa wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kutoshiriki zoezi la upigaji kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika leo tarehe 20th March 2016.

Jambo hilo pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya uwakilishi kupitia CUF takribani 13 kushiriki upigaji kura na wagombea wa nafasi za udiwani kupitia chama cha wananchi wameshiriki pamoja na kuwepo zuio kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa Chama hicho kwa Zanzibar.

Majina ya wagombea uwakilishi waliojitokeza kupiga kura na majimbo yao mpaka sasa ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (Chake chake)
2. Hijja Hassan Hijja (Kiwani)
3. Abdilahi Jihad Hassan (Mwanakwerekwe)
4. Said Ally Mbarouk ( Gando)
5. Suleiman Simai Pandu (Kijitoupele)
BBC wametangaza kuna karatasi za kupigia kura zimechorwa vitu vya hovyo ili kuharibu kura so inawezekana mheshimiwa mstaafu alimchora magu akipiga pushup
 
Cha msingi kura imepigwa hata zilizoharibika ni kura halali zilizopigwa japo huhesabiwa zimeharibika. 2020 wasuse tena! Majimbo ya CUF Pemba watashinda ADC ya Hamad Rashid na Maisha yataendelea kama kawaida
Why Isiwe 2016, Wasubirie Hadi 2020 Mbali Kote!! Kama CCM Au ADC Wana Uwezo Huo Washinde 2016!! Nadhani Unaweweseka Na Kijiti Cha Arusha!!!
 
ray jay, sikufahamu lakini naomba tu nikuulize, je unajua hii picha hapa chini ilipigwa lini na wapi...

karume-jpg.331356
Hivi hauoni hata tofauti ya nguo za wasimamizi na watu wa Tume...

Acha viroba vinakuharibu akili, hao wasimamizi wa 2010 walivaa kijani na hawa wamevaa nyekundu
 
Back
Top Bottom