Maalim Seif Sharif ASALITIWA.

Maalim Seif Sharif ASALITIWA.

yes , point , mi nasubiri jibu ?
Its a long story ila kama ulifatilia vizuri in detail kuhusu zanzibar ungefahamu kwa nini huyo kasema hivyo....unajua kwa nini vijana ccm walitaka awajibishwe karume?uliangalia mdaharo wa TLS wa zanzibar,na hoja alizokuwa akitoa mtoto wa karume na jibu alilotoa pindi alipoulizwa swali liliohusisha baba yake?
 
3a2bb72be3365068c78d45c1bd5dd3b8.jpg
 
Si kweli Karume hakupiga kura picha mnayotumia ndio hii ya 2010
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1458502137.891669.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1458502137.891669.jpg
    41.1 KB · Views: 113
2010!
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1458502297.196192.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1458502297.196192.jpg
    41.1 KB · Views: 56
Mimi majina ya huko Zenj ndiyo yanayoniacha hoi. Hebu cheki haya;
•Kiembesamaki
•Kijitoupele
•Kisiwandui
•Kimbandamaiti
•Kikojoakwajuni
!
!
!
 
View attachment 331335 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho amesalitiwa na wana mkakati wenzake juu ya mpango wa kugomea uchaguzi wa Marudio uliofanyika leo Zanzibar.

Wanamkakati wa Maalim Seif wakiongozwa na Mansour na Amani Karume wametajwa kusaliti mipango ya kugomea uchaguzi wa marudio baada ya kujitokeza na kushiriki zoezi la upigaji kura, ambapo Mhe Amani Karume kapiga kura katika kituo cha Skuli ya Kiembesamaki na Mansour Yusuph Himid amepiga kura akiwa jela ya Kiinua miguu iliyopo Unguja.

Wawili hawa wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kutoshiriki zoezi la upigaji kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika leo tarehe 20th March 2016.

Jambo hilo pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya uwakilishi kupitia CUF takribani 13 kushiriki upigaji kura na wagombea wa nafasi za udiwani kupitia chama cha wananchi wameshiriki pamoja na kuwepo zuio kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa Chama hicho kwa Zanzibar.

Majina ya wagombea uwakilishi waliojitokeza kupiga kura na majimbo yao mpaka sasa ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (Chake chake)
2. Hijja Hassan Hijja (Kiwani)
3. Abdilahi Jihad Hassan (Mwanakwerekwe)
4. Said Ally Mbarouk ( Gando)
5. Suleiman Simai Pandu (Kijitoupele)
Habari yako imekuwa ya UONGO unless utuambie Mansoori Himid kaachiwa lini ilihali alikamatwa na kuwekwa ndani na kisha kunyimwa dhamana?
 
View attachment 331335 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho amesalitiwa na wana mkakati wenzake juu ya mpango wa kugomea uchaguzi wa Marudio uliofanyika leo Zanzibar.

...ambapo Mhe Amani Karume kapiga kura katika kituo cha Skuli ya Kiembesamaki
ray jay, sikufahamu lakini naomba tu nikuulize, je unajua hii picha hapa chini ilipigwa lini na wapi...

karume-jpg.331356
 
Attachments

  • Karume.jpg
    Karume.jpg
    77.7 KB · Views: 170
View attachment 331335 Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama hicho amesalitiwa na wana mkakati wenzake juu ya mpango wa kugomea uchaguzi wa Marudio uliofanyika leo Zanzibar.

Wanamkakati wa Maalim Seif wakiongozwa na Mansour na Amani Karume wametajwa kusaliti mipango ya kugomea uchaguzi wa marudio baada ya kujitokeza na kushiriki zoezi la upigaji kura, ambapo Mhe Amani Karume kapiga kura katika kituo cha Skuli ya Kiembesamaki na Mansour Yusuph Himid amepiga kura akiwa jela ya Kiinua miguu iliyopo Unguja.

Wawili hawa wanatajwa kuwa ni wanamkakati ambao walipendekeza na kushauri mpango wa kutoshiriki zoezi la upigaji kura katika uchaguzi wa marudio uliofanyika leo tarehe 20th March 2016.

Jambo hilo pamoja na baadhi ya wagombea wa nafasi ya uwakilishi kupitia CUF takribani 13 kushiriki upigaji kura na wagombea wa nafasi za udiwani kupitia chama cha wananchi wameshiriki pamoja na kuwepo zuio kutoka kwa kiongozi huyo mkuu wa Chama hicho kwa Zanzibar.

Majina ya wagombea uwakilishi waliojitokeza kupiga kura na majimbo yao mpaka sasa ni hawa wafuatao;

1. Omar Ali Shehe (Chake chake)
2. Hijja Hassan Hijja (Kiwani)
3. Abdilahi Jihad Hassan (Mwanakwerekwe)
4. Said Ally Mbarouk ( Gando)
5. Suleiman Simai Pandu (Kijitoupele)
4544937da4c5aa110822561f267d1b94.jpg
picha ya 2010 unaleta leo
 
Kawaida mleta taarifa na picha za uongo lazima ale ban
 
Kama kawaida ya watanzania wengi tunapenda kuanza kurushiana maneno kabla hata hatujathibitisha ukweli wa taarifa wanajf wa siku hizi waongo kwelikweli mtu akiambiwa kitu tu kijiweni mbio jf kutulisha matango pori liwe funzo kwako mleta mada na watu wa aina yako
 
Usiwe mvivu wa kujiridhisha, soma na hoji usahihi wa taarifa kwa njia unazozifahamu na kama Karume hajapiga kura leo, naomba mods watoe hii thread
Licha ya kuitoa tu wanatakiwa wakuadabishe kwa kuleta taarifa ya uongo
 
Asante mkuu nimekuelewa

ZOEZI LA UPIGAJI WA KURA YA MAONI VISIWANI KUHUSIANA NA UUNDWAJI WA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA ZANZIBAR - July, 2010.

karume-jpg.331356

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akikabidhi kitambulisho chake cha upigaji kura kwa karani wa kituo cha kupigia kura Asha Mustafa Abdalla, katika Skuli ya Msingi Kiembesamaki, wakati wa zoezi la kura ya maoni Zanzibar

G_3391.JPG

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume akipiga kura yake katika kituo cha kupigia kura cha skuli ya Kiembesamaki, ikiwa ni zoezi la kura ya maoni ya Uundwaji wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar.
 
Back
Top Bottom