Maalim Seif Hamad apinga CUF kuungana na CHADEMA

CUF wanaweza kuwababaisha CCM lakini sio CHADEMA; Kwanza CHADEMA inaamini kwamba hakuna jambo lolote lenye mashiko litafanyika kwa kuungana na CUF ya Maalim Seif aliyefunga ndoa na CCM ya Chein. Pili CUF wenyewe ndo wameona reality kuwa hawakushirikishwa kwenye mchakato wa katiba na kuona CCM inawaburuza. CUF wamejipendekeza wenyewe kwa CHADEMA, kwani CHADEMA inajiamini na uwezo wa Kushika Dola ya Tanaganyika hapahitajiki Watu za Zanzibar waungane na CHADEMA. Kinachoitajika ni Serikali TATU. Kinachoitajika hapo ni kurudisha Serikali ya Tanganyika, na Kuungana na CUF hakuna Mashiko kwa maana CUF ni CHAMA cha ZANZIBAR.
 
Msimamo mzuri ndugu yangu Maalim Seif mpenda madaraka sema umeongea point za msingi chadema walikuwa hawapendi cuf na wanasema cuf ni chama cha zanzibar kwahiyo sio chama cha tanzania cuf imefunga ndoa na ccm matusi mingi sana leo mnataka support ya cuf?huyu Maalim Seif I used to like him before lakini nilikuja kugundua kama anapenda madaraka tu sio kama yupo kwa maslahi ya wazanzibar iwezekani miaka yote yeye tu ndie anataka kugombea Urais kama hakuna watu wengine tafakari

so who do you love?
 
Wadau,

Taarifa za kuaminika nilizopata kutoka chanzo cha kuaminika huko Zanzibar zinasema kuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amepinga kitendo cha baadhi ya viongozi wa chama hicho kuingia makubaliano na CHADEMA ili kupinga muswada wa katiba mpya. Maalim Seif amenukuliwa akisema mbele ya baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwa uamuzi huo si wa kichama bali ni msimamo wa baadhi ya viongozi wa chama hicho ambao wamepewa fedha na CHADEMA ili wawe na msimamo wa aina moja. Maalim Seif anasema kuwa wanaoratibu mpango huo ni Naibu Katibu Mkuu, Julius Mtatiro kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge wa chama hicho kutoka Zanzibar. Taarifa zinasema kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Ibrahim Lipumba inaelekea kuwa ameingia kucheza ngoma ambayo haijui na matokeo yake anaonekana kupoteza mwelekeo na kukosa msimamo. Hoja zilizoainishwa na Maalim Seif za kupinga makubaliano hayo ni hizi zifuatazo;

  1. Hakuna kikao chochote cha chombo chochote cha kiutendaji na kimaamuzi cha CUF kilichoketi iwe Zanzibar au Tanzania Bara kujadili jambo hilo na kuweka msimamo wa chama.
  2. Maoni yaliyotolewa na Kambi Rasmi ya Upinzani juu ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba hayakuwa maoni ya vyama vyote vya upinzani bali yalikuwa ni maoni ya CHADEMA pekee waliyoandaa kwa muktadha wa kujipatia umaarufu Zanzibar
  3. CUF ni moja ya vyama vinavyounda serikali ya umoja wa Kitaifa Zanzibar. Kutokana na ukweli kuwa Serikali hiyo imeshirikishwa na yeye (Maalim Seif) ameshiriki katika kuboresha Muswada huo anaamini kuwa chama hicho kupitia Serikali ya Umoja wa kitaifa ambayo imepewa baraka na Wazanzibari wote kimeshiriki kutoa maoni yake. Hivyo madai kuwa Wazanzibari hawajashirikishwa si ya kweli na ni upotoshwaji mkubwa
  4. Misimamo ya viongozi wa CHADEMA dhidi ya Zanzibar mara zote imekuwa hasi na kwa hali hiyo hali iliyojitokeza ya viongozi wa chama hicho kujipendekeza kwa Wazanzibari imetafsiriwa kuwa ni ulaghai wa kisiasa.
  5. Zanzibar ina viongozi ambao ndio waliopewa dhamana ya kuwasemea Wazanzibari na si mtu mwingine ambaye misimamo yake dhidi ya Wazanzibari inajulikana
  6. Kwa muda mrefu, CHADEMA wamekuwa wakitoa kauli za kuudhi dhidi ya CUF na viongozi wake hasa wale wanaotoka Zanzibar kama vile CUF ni CCM B, CUF ni chama cha Kiliberali ambacho kinasupport ndoa ya jinsia moja na CUF imeolewa na CCM. Kwa kauli hizo, hakika muungano unaosema hasa na CHADEMA si wa kweli bali ni wa maslahi ya upande mmoja.
  7. CHADEMA wanataka kuitumia CUF kama daraja ili kujipatia wafuasi Zanzibar. hii ni kutokana na CHADEMA kuendelea kupoteza mvuto visiwani humo hasa kutokana na viongozi wakuu wa chama hicho kuwa na chuki binafsi dhidi ya Zanzibar. Aibu aliyopata Katibu Mkuu wa CHADEMA alipofanya ziara visiwani humo imechochea viongozi wa chama hicho kuona haja ya kuungana na CUF

Kutokana na hali hiyo, Maalim Seif ametoa msimamo ufuatao ambao anategemea kuuwasilisha kwenye vikao halali vya kiutendaji vya CUF na ambao amesema unaungwa mkono na viongozi wengi wa chama hicho;
  1. Yeye kama katibu Mkuu na mtu anayekubalika na kutumainiwa na Wazanzibari wengi hatashiriki kikao chochote na CHADEMA kujadili jinsi ya kukwamisha mchakato wa Katiba
  2. Yeye kama Katibu Mkuu hatashiriki ziara iliyotangazwa na CHADEMA ya kuzunguka nchi nzima kwa kile kinachodaiwa kuishtaki serikali ya ccm kwa wananchi
  3. CHADEMA wameonywa kutojipendekeza kwa CUF na wamekumbushwa msimamo wao kuwa CHADEMA KITASIMAMA KWA MIGUU YAKE YOYOTE NA HAKIHITAJI MSHIRIKA YEYOTE KATIKA JAMBO LOLOTE

Nawasilisha

Kama ni kweli,Anapotuhumu viongozi wenzake kuwa wamehongwa na CHADEMA kwanini isiwe yeye kuwa amehongwa na CCM?
 
hatutachangia hii thread maana aliyeileta, anayechangia ni mtu mmoja kwa id kibao ,anachokifanya ni kuhama hama komputa na kufikiria sasa atukane tusi lipi...hakika hakuna wenye akili timamu wataleta mwawazo mbadala ila watasoma na kuuliza maswali na mengineyo...kumbuka sijachangia thread hii,,,na wanajf wenye akili timilifu hatutachangia maneno yenu ya kwenye kanga bali tutauliza maswali mengi tuuu.
 
Kama ni kweli,Anapotuhumu viongozi wenzake kuwa wamehongwa na CHADEMA kwanini isiwe yeye kuwa amehongwa na CCM?

Mkuu Ben lisemwalo lipo. Kama Katibu Mkuu amesema kuwa CHADEMA wamepewa fedha kuvuruga mchakato wa katiba, watashindwa vipi kuwahonga hao akina mtatiro na baadhi ya wabunge kufanikisha mpango wao?
 
Ngoma bado mbichi huyo ndiyo maalim nadhani wazanzibar wamemsuta kuungana na makfir chadema ingekuwa ni kuitukana zanzibar.

hata ccm kuna makafiri wengi....kumbe cuf ni chama cha waislam?????? Unaposema kafir una maana gani
 
hatutachangia hii thread maana aliyeileta, anayechangia ni mtu mmoja kwa id kibao ,anachokifanya ni kuhama hama komputra na kufikiria sasa atukane tusi lipi...hakika hakuna wenye akili timamu wataketa mwawazo mbadala ila watasoma na kuendelea na mengine...kumbuka sijachangia thread hii,,,na wanajf wenye akili timilifu hatutachangia maneno yenu ya kwenye danguro.

Dah Mkuu, hata uliyoandika ni kuchangia thread hii. Mkuu, ni vema ukafanya tafakuri ya kina katika hili
 
Wadau,

Taarifa za kuaminika nilizopata kutoka chanzo cha kuaminika huko Zanzibar zinasema kuwa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amepinga kitendo cha baadhi ya viongozi wa chama hicho kuingia makubaliano na CHADEMA ili kupinga muswada wa katiba mpya. Maalim Seif amenukuliwa akisema mbele ya baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuwa uamuzi huo si wa kichama bali ni msimamo wa baadhi ya viongozi wa chama hicho ambao wamepewa fedha na CHADEMA ili wawe na msimamo wa aina moja. Maalim Seif anasema kuwa wanaoratibu mpango huo ni Naibu Katibu Mkuu, Julius Mtatiro kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge wa chama hicho kutoka Zanzibar. Taarifa zinasema kuwa Mwenyekiti wa chama hicho, Ibrahim Lipumba inaelekea kuwa ameingia kucheza ngoma ambayo haijui na matokeo yake anaonekana kupoteza mwelekeo na kukosa msimamo. Hoja zilizoainishwa na Maalim Seif za kupinga makubaliano hayo ni hizi zifuatazo;

  1. Hakuna kikao chochote cha chombo chochote cha kiutendaji na kimaamuzi cha CUF kilichoketi iwe Zanzibar au Tanzania Bara kujadili jambo hilo na kuweka msimamo wa chama.
  2. Maoni yaliyotolewa na Kambi Rasmi ya Upinzani juu ya Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Katiba hayakuwa maoni ya vyama vyote vya upinzani bali yalikuwa ni maoni ya CHADEMA pekee waliyoandaa kwa muktadha wa kujipatia umaarufu Zanzibar
  3. CUF ni moja ya vyama vinavyounda serikali ya umoja wa Kitaifa Zanzibar. Kutokana na ukweli kuwa Serikali hiyo imeshirikishwa na yeye (Maalim Seif) ameshiriki katika kuboresha Muswada huo anaamini kuwa chama hicho kupitia Serikali ya Umoja wa kitaifa ambayo imepewa baraka na Wazanzibari wote kimeshiriki kutoa maoni yake. Hivyo madai kuwa Wazanzibari hawajashirikishwa si ya kweli na ni upotoshwaji mkubwa
  4. Misimamo ya viongozi wa CHADEMA dhidi ya Zanzibar mara zote imekuwa hasi na kwa hali hiyo hali iliyojitokeza ya viongozi wa chama hicho kujipendekeza kwa Wazanzibari imetafsiriwa kuwa ni ulaghai wa kisiasa.
  5. Zanzibar ina viongozi ambao ndio waliopewa dhamana ya kuwasemea Wazanzibari na si mtu mwingine ambaye misimamo yake dhidi ya Wazanzibari inajulikana
  6. Kwa muda mrefu, CHADEMA wamekuwa wakitoa kauli za kuudhi dhidi ya CUF na viongozi wake hasa wale wanaotoka Zanzibar kama vile CUF ni CCM B, CUF ni chama cha Kiliberali ambacho kinasupport ndoa ya jinsia moja na CUF imeolewa na CCM. Kwa kauli hizo, hakika muungano unaosema hasa na CHADEMA si wa kweli bali ni wa maslahi ya upande mmoja.
  7. CHADEMA wanataka kuitumia CUF kama daraja ili kujipatia wafuasi Zanzibar. hii ni kutokana na CHADEMA kuendelea kupoteza mvuto visiwani humo hasa kutokana na viongozi wakuu wa chama hicho kuwa na chuki binafsi dhidi ya Zanzibar. Aibu aliyopata Katibu Mkuu wa CHADEMA alipofanya ziara visiwani humo imechochea viongozi wa chama hicho kuona haja ya kuungana na CUF

Kutokana na hali hiyo, Maalim Seif ametoa msimamo ufuatao ambao anategemea kuuwasilisha kwenye vikao halali vya kiutendaji vya CUF na ambao amesema unaungwa mkono na viongozi wengi wa chama hicho;

  1. Yeye kama katibu Mkuu na mtu anayekubalika na kutumainiwa na Wazanzibari wengi hatashiriki kikao chochote na CHADEMA kujadili jinsi ya kukwamisha mchakato wa Katiba
  2. Yeye kama Katibu Mkuu hatashiriki ziara iliyotangazwa na CHADEMA ya kuzunguka nchi nzima kwa kile kinachodaiwa kuishtaki serikali ya ccm kwa wananchi
  3. CHADEMA wameonywa kutojipendekeza kwa CUF na wamekumbushwa msimamo wao kuwa CHADEMA KITASIMAMA KWA MIGUU YAKE YOYOTE NA HAKIHITAJI MSHIRIKA YEYOTE KATIKA JAMBO LOLOTE

Nawasilisha

>Kwani CHADEMA ILIOMBA CUF IWAUNENGE MKONO?
 
>Mtu akishakuwa mliberali na akili zote hupotea.. Michezo ya baharini ya huko znz imewaharibu sana wa znz
 
nimegundua kombinesheni ya cdm+nccr+cuf maadui wa katiba bora(ccm) ilikuwa inawaumiza sana
 
sema chanzo cha habari acha longolongo
 
Hana jipya huyoooo mzee, siasa hakuna adui wala rafiki wa kudumu, ndio maana hata yeye leo anaunga mkono hoja za mzee Jumbe, wakati uli yeye alikuwa upande wa Nyerere
 
wadau,

taarifa za kuaminika nilizopata kutoka chanzo cha kuaminika huko zanzibar zinasema kuwa katibu mkuu wa cuf, maalim seif sharif hamad amepinga kitendo cha baadhi ya viongozi wa chama hicho kuingia makubaliano na chadema ili kupinga muswada wa katiba mpya. Maalim seif amenukuliwa akisema mbele ya baadhi ya viongozi wa serikali ya mapinduzi zanzibar kuwa uamuzi huo si wa kichama bali ni msimamo wa baadhi ya viongozi wa chama hicho ambao wamepewa fedha na chadema ili wawe na msimamo wa aina moja. Maalim seif anasema kuwa wanaoratibu mpango huo ni naibu katibu mkuu, julius mtatiro kwa kushirikiana na baadhi ya wabunge wa chama hicho kutoka zanzibar. Taarifa zinasema kuwa mwenyekiti wa chama hicho, ibrahim lipumba inaelekea kuwa ameingia kucheza ngoma ambayo haijui na matokeo yake anaonekana kupoteza mwelekeo na kukosa msimamo. Hoja zilizoainishwa na maalim seif za kupinga makubaliano hayo ni hizi zifuatazo;

  1. hakuna kikao chochote cha chombo chochote cha kiutendaji na kimaamuzi cha cuf kilichoketi iwe zanzibar au tanzania bara kujadili jambo hilo na kuweka msimamo wa chama.
  2. maoni yaliyotolewa na kambi rasmi ya upinzani juu ya muswada wa sheria ya marekebisho ya katiba hayakuwa maoni ya vyama vyote vya upinzani bali yalikuwa ni maoni ya chadema pekee waliyoandaa kwa muktadha wa kujipatia umaarufu zanzibar
  3. cuf ni moja ya vyama vinavyounda serikali ya umoja wa kitaifa zanzibar. Kutokana na ukweli kuwa serikali hiyo imeshirikishwa na yeye (maalim seif) ameshiriki katika kuboresha muswada huo anaamini kuwa chama hicho kupitia serikali ya umoja wa kitaifa ambayo imepewa baraka na wazanzibari wote kimeshiriki kutoa maoni yake. Hivyo madai kuwa wazanzibari hawajashirikishwa si ya kweli na ni upotoshwaji mkubwa
  4. misimamo ya viongozi wa chadema dhidi ya zanzibar mara zote imekuwa hasi na kwa hali hiyo hali iliyojitokeza ya viongozi wa chama hicho kujipendekeza kwa wazanzibari imetafsiriwa kuwa ni ulaghai wa kisiasa.
  5. zanzibar ina viongozi ambao ndio waliopewa dhamana ya kuwasemea wazanzibari na si mtu mwingine ambaye misimamo yake dhidi ya wazanzibari inajulikana
  6. kwa muda mrefu, chadema wamekuwa wakitoa kauli za kuudhi dhidi ya cuf na viongozi wake hasa wale wanaotoka zanzibar kama vile cuf ni ccm b, cuf ni chama cha kiliberali ambacho kinasupport ndoa ya jinsia moja na cuf imeolewa na ccm. Kwa kauli hizo, hakika muungano unaosema hasa na chadema si wa kweli bali ni wa maslahi ya upande mmoja.
  7. chadema wanataka kuitumia cuf kama daraja ili kujipatia wafuasi zanzibar. Hii ni kutokana na chadema kuendelea kupoteza mvuto visiwani humo hasa kutokana na viongozi wakuu wa chama hicho kuwa na chuki binafsi dhidi ya zanzibar. Aibu aliyopata katibu mkuu wa chadema alipofanya ziara visiwani humo imechochea viongozi wa chama hicho kuona haja ya kuungana na cuf

kutokana na hali hiyo, maalim seif ametoa msimamo ufuatao ambao anategemea kuuwasilisha kwenye vikao halali vya kiutendaji vya cuf na ambao amesema unaungwa mkono na viongozi wengi wa chama hicho;

  1. yeye kama katibu mkuu na mtu anayekubalika na kutumainiwa na wazanzibari wengi hatashiriki kikao chochote na chadema kujadili jinsi ya kukwamisha mchakato wa katiba
  2. yeye kama katibu mkuu hatashiriki ziara iliyotangazwa na chadema ya kuzunguka nchi nzima kwa kile kinachodaiwa kuishtaki serikali ya ccm kwa wananchi
  3. chadema wameonywa kutojipendekeza kwa cuf na wamekumbushwa msimamo wao kuwa chadema kitasimama kwa miguu yake yoyote na hakihitaji mshirika yeyote katika jambo lolote

nawasilisha

uchonganishi at work.
Seif hajawai kusema maneno haya na hawezi kusema hivi na hawezi kutoa tuhuma kama hizi.
Hizi ni njama za maccm na uoga wao.

Warnning

watanzania wana miliki viwanda vya kutengeneza uongo- jk
 
Dah Mkuu, hata uliyoandika ni kuchangia thread hii. Mkuu, ni vema ukafanya tafakuri ya kina katika hili

I withdrew my words, my content in itself has disclaimer so try to understand your mind in very dot you think. Such uncouth words constructing the thread indicates the ill intention of the writer. I still stand to say no constructive advise you should expect out of sheer ignorance presented by thread maker. Its like gashing a stone to breed blood.
 
Back
Top Bottom