lara 1
JF-Expert Member
- Jun 10, 2012
- 15,700
- 29,111
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mwenzangu imekuwa fashion siku kusikia eti mtu kaibuka tu nae mfundaji! Au sijui mama mchungaji anatoa somo mambo ya ndoa au jinsi ya kupata mchumba afu mnalipa! Au kitchen party mnamlipa mtu aje afunde! Au mtu anaitisha semina watu mnatoa hela ukajifunze kukaa na mumeo! Khaaaaaaaaaa!
Mume wako mwenyewe kuishi nae akufundishe mtu ambae hata hamjui! Si bora ukajifunze kwa mamkwe aliemlea! Khaaaaaa! Mimi haya mambo sikubaliani nayo kabisaaaaaaaa! Tena hata kwenye kitchen party naendaga mda wa kula na kucheza mziki baaaaaaaaaaaaaas! Mimi sikubaliani kabisaaaa na mambo yenu kwa sababu nzito zifuatazo!
1. Wanaume Sio Universal!!!!!!!!!!! Hakuna jambo linafanya kazi kwa wanaume wote. Wanaume hawafanani asilani kila mtu hulka yake. Wewe mke/GF ndo unajua maruhani ya mwenzio uzuri sasa kupoteza mda mtu hamjui huyo bwana wala uzaifu wake atakufundisha lipi usilolijua! Logically tu haileti picha! Unaweza kukuta mumeo mzungu kama Baba Lara 1, chakula chochote anajilia tu, Hata haulizi kapika nani, maadam akute chakula baaaas! hana makuu, kama mboga ndogo anawaachieni watoto mle, sasa kule unafundishwa Mumeo umtengeee Mipaja, wewe na wanao mle miguu, vikwapa na shingo! Si kunyanyasa watoto huko. Yeye anashinda nyumbani wewe umekaa strong room bank huko siku nzima anakubrainwash uwahi kupika! Badala kama nguvu unazo uende chuo evening ujiendeleze mjikwamue, eti uwahi kupika??????? Haingii akilini mtu amjue mumeo na lipi litamfaa mumeo kuliko wewe unaelala nae na kuamka nae!!!!!!!!!!
2.Autheticity ya huyo Mwalimu!!!!!!!!! Mtu kaamka tu kaamua kuanzia leo nafunda! Hakuna chuo wala qualifications za kupima uwezo wa huyo ticha! Mostly unakuta mtu tu, hata elimu yake sio kivile, hana biashara ya kueleweka, ndo kujiingizia kipato anafunda!!!!!!! Mimi siku Mama Salma Kikwete akisema anafunda nawahije coz uwezo wake nimeuona!!!!!!!! Hata akiwa na ndoa anawazuga ya furaha nyie mnauhakika gani kama ya furaha kweli sio maigizo! Ukute ndoa yenyewe ya kumlamba mumewe miguuu! Mjini hapa!!!!!!!!!!! Na kama she is as good as she claims kwanini hayo mambo asimfanyie mumewe amfungulie biashara za maana na kumnunulia prado aache kukauka kooo? Mi upendo usikuwa na indicators za kupima siuaminigi kabisaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!
3. Hamna Jipya!!!!!!!!!! The old boring staffs alizoniambia bibi yangu (R.I.P) Usafi, Utiii, Ukarimu, blah blah blah! Alianza bibi mpaka mjukuuu! Jipya hakunaga! Bora hata nikamsikize mtu aniambie kuna design mpyaa ya machjo imeingia inaitwa I phone 6 it will be more interesting!!!!!!!!!
My take girls you know your man better n your man knows you, na mpaka amekupenda it means you are perfect for him, sasa kutaka kuperfect world standards ndo mnajiletea mgongano! Dont let people you dont know dictate to you how to live with your man!
Even men like you to be yourself cause it more fan, ukisahfuzu mafundisho you become a Cold Bi.tch who is never wrong and always watching out standards are adhered!!!!!!!!!
MJINI HAPA!!!!!!!!!!! MJINI CHUO KIKUUU!!!!!!!!!!!!
Neo langu sio sheria au tamko la kikatiba!!!!!!! Feel free to agree to disagree!!!!!!!!!!! Its a free country after all!!!!!!!!