MAakungwi! Watoa Masomo! Walimu wa Mapenzi Ni Upotoshaji wa Jamii na Kujiingizia Kipato Isivo Halali

you have said it correctly ukiingia mombasa raha unapata kila kitu. istoshe jamani kama kukatika mbona watu tulijifunza toka tuko primary?? ama ngona hawa hawakucheza??
hii ya kufundwa kukatika tuuuuuuuuuuuuu ndani ni uongo mtupu. mie sikufich kuna mahali huwa naedaga kwenye mafunzo ya akina mama huwa tunakwenda ndani kwa mtu tena anaish nje ya dar. huko hukutana na wamama wengi wajasiriamali, tukapeana mbinu za kibiashara na networking tukimaliza huwa tunajadili changa moto tunazokumbana nazo wanawake kama wake/wamama na walezi na kupeana namna ya kuzishinda.

unajikuta kila ukienda umerudi na akili mpya ya maisha yani hata kama kuna mahali likosea unaamua kurekebisha. huwez kuamini toka nianze kwenda kwenye hii ishu ni mwez wa tano sasa nimejikuta najiona ninawajibu mkubwa zaid kuliko niliokuwa nao, najikuta nimeacha hata utoto na kuwa more serious najikuta hata nikisema nauza vitunguu nje ya nyumba ninauhakika wa kukiuza tena kwa faida............ that the thing ladies shld be doing lkn kujiweka kwenye makundi ya kitchen party galla kutwa mnajifunza kukata viuno mtalost. so far siku hzi wanaume hawataki mavibration wana mambo mapya kabaisa wanayotaka.

tusidanganyane hapa1

yote uliyosema ni sahihi kabisa sijui ujasiriamali sijui nini, na hayo ya kukata mauno pia ni sahihi kabisa pia.

hebu tujuze wanaume wanataka nini kipya?

nachojua piga ua, wote wanapenda CHINI.
 
Yaani wknd niache kubanana Paw wangu na supu yenye limbwata niende kwa mama victor? Khaaa!
Seriously nadhani watu wanaoenda wanatamani outing na show za mjini tu. Ila ati kujifunza? Bora umuangalie yule mama wa mombasa humu youtube ufanye zoezi. 30 tau si unapata kapair ka sandals kanisa jamani? @fp, njoo best ujionee.
ndo najionea hapa best....
 
ivi na wanaume huwa wanawaza na kuhangaikia namna ya kuwatuliza wanawake wao?..cc wanawake kila siku utasikia mfanye hivi mumeo,sijui mume ni mtt mbembeleze etc..anyways..naitaka kitchen party,haswaa zile zawadi
 
eheheee hadi shoga bilali nae kungwi........sijui huwa anafunda nini ?
600615_586206598077444_1258805405_n.jpg

duuh shost ake Madame B analisakata rumba hadi chini.........
 
Last edited by a moderator:
Wanaoniboa ni mashosti wanaotumika kuchangisha! Eti ujeee, ni nzuri sijui kufanyajekufanyaje. Majambazi woote hao kina aunt sadaka sijui sadati.

Wanatafuta a lousy venue.
Kiingilio 30,000x400= 12,000,000
Msosi kama wakitoa 400x10,000 =4,000,000
Kupamba hardly 300,000
Dj na mziki hardly 300,000
Kama kuna drinks za kunyunyizia hata wakitumia milioni moja!

Faida= 7,000,000 na ushee kwa siku na masaa tu.

Wizi mtupu. Mie hata nikiwa kwenye kitchen party kamati hayo maujinga ya kumuita mama victor anaambia watu wafanye douching na huku daktari kakataza, afu mnampa laki 3 huwa nagoma. Bora tununue food processor hapo, eboo.

Bora umewastukia aisee. Wanawake hawana outing na hapo wanaenda kuonyesha nguo zao za vitenge tu hamna lolote.
juzi nilikuwa mweka hazina kwenye kitchen party inanihusu kweli kweli!
niligoma plus kugoma kutoa hela ili kumwita mama victor!
weee nilionekanaje mpinga maendeleo!full kununiwa na dada zangu!nikagoma mpka hatua ya mwisho!af kikao ndo kilikuwa cha mwisho!watu sijui zikawatoka hela zao kwnny akaunti zao wakamwita mama victor!mi sina hili wa la lile mida ya saa nne sijui ndo anaingia!nilibaki haya!
alichoongea!uuuuiwh bora ningekwita uje tu tugawane hiyo laki tatu tukanunue zile handbag za nguvu!
kwanza alichelewa!
pili alibore na ile sauti
tatu ameshaishiwa maneno,kila siku yale yale tuuu!
nilifurahi kwani dada zangu walinunaje but nilikasirika kwa kuniharibia shughuli ya mdogo wangu!
 
Back
Top Bottom