mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Wilaya ya rombo ndio wilaya yenye wanaume wenye huruma sana hadi kufikia kuruhusu wanawake wao kuchukuliwa na wakenya
Mapema sana nitakuwa Machame kuota baridi.. Mwaka huu tumesomeshwa sana namba wacha tukapumzikeTime za kwenda home sweet home zimekaribia
Wapi fisadi kuu?
Labda atakuwa anazungumzia mbo....Nipo hapa rombo naipata kill fm vizuri kabisa radio one, clouds na nyingne au unaongelea rombo ya wapi??
watu wanakimbia Moshi, naona wababaki wazee na wanafunziSi kweli
huyu mtoa mada n mpuuz haijui romboHuu ni upotoshaji mkubwa niwakupuuzwa tuu
licha ya huruma kuna hospital mpya ya wilaya iitwyo karume IPO usseriHuruma ni ya share inamilikiwa na kanisa
mkuu nimefurahishwa na id yako mamaya, "sikeloda ngasikuva"Bila kusahau kuwa kirombo ni kama KIJERUMANI, karibuni kila neno linaanzia na herufi V , vasheku , vashiiki, vaenda, veeshaa vadholya,volkswagen,kiufupi warombo ni wajerumani weusi
licha ya huruma hospital rasmi ya serikali inaitwa karume IPO userindio ila ni ya wilaya na serikali ina madaktari wake pale kama ilivo Bugando, KCMC n.k
hahaha hata nyaanyi lasima ngisheKaizer ushe dukombe kyaaadu
Nasikia Kama sio wa huko watakuita Chasaka ukioa huko au wameacha.Nilikuta binti mmoja wa kimachame akaniambia nikitaka kumwoa lazima niwe na Landcruiser Prado sio kabati la mbeo kama zamani.Ila kama mtu una stress fika Rombo, Machame na Marangu...the places are simply romantic; kuna maeneo Mungu aliamua kuyabariki... Nilikuepo Marangu na Rombo majuzi nikatamani kuoa kabisa huko,kuzuri mno wakuu!
Kuita wengine chasaka, Mambo ya zamani hayo, watu wa kule wanachangamana na yoyote ili mradi usiwe mzinguaji tu, kati ya watu wenye ukabila warombo usiwahesabie kabisa, kuna baadhi ya wilaya Tanzania wanaongea kilugha masaa yote na hawajichanganyi na watu wasio wa kabila laoNasikia Kama sio wa huko watakuita Chasaka ukioa huko au wameacha.Nilikuta binti mmoja wa kimachame akaniambia nikitaka kumwoa lazima niwe na Landcruiser Prado sio kabati la mbeo kama zamani.
Umeninukuu tofauti,niliandika ''nasikia'' na sikumanisha ndivyo ilivyo,by the way wakati mwingine jf usiamini kila kitu.Kuita wengine chasaka, Mambo ya zamani hayo, watu wa kule wanachangamana na yoyote ili mradi usiwe mzinguaji tu, kati ya watu wenye ukabila warombo usiwahesabie kabisa, kuna baadhi ya wilaya Tanzania wanaongea kilugha masaa yote na hawajichanganyi na watu wasio wa kabila lao