Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,053
Watu watunguliKumbe ndio kupo hivyoo! Basi mim nilijua kwa hao jamaa ni Ulaya ndogo maana wengi wao wana mawe kwel kwel.
Watu watunguliKumbe ndio kupo hivyoo! Basi mim nilijua kwa hao jamaa ni Ulaya ndogo maana wengi wao wana mawe kwel kwel.
Mimi nakuelewa sana kiongozi.Mark my words bro
Ukweli Ni Kuwa Shule ina Form I mpaka VI hayo Nadhani ni Mabweni ya Wanafunzi wa High School, Huyo anayesema Ni Ya Masister, Parokia Ina Majengo Murua sana ya Mawe ya Masister Karibu na Jengo Kuu la Kanisa, Na Masister Kiraeni Hawawezi Kuzidi 6 Je Hilo Ghorofa Ni La Masister wangapi? Halafu Masister Wanaishi Kwenye Nyumba za Convent za Pamoja Zenye Majiko, Sebule, Maktaba, Sehemu ya sala etc sio kwenye Hostel!Sasa hiyo nyumba ya masister nasio mabweni ya wanafunzi
ww naye mbona ukakurupukaHii Rombo unayoiongelea ni Rombo Bar au ni hii Rombo ya Useri, Mkuu, Mashati, Tarakea.... Niijuayo mimi??
hujui hata kuandika mantiki sasa hapo unamaanisha nini?ww naye mbona ukakurupuka
Infwact ni wilaya pekee yenye magari zaidi ya 20 yanayoenda mikoa mwingine kama tanga,dar,moro,singida Dodoma ,arusha na Mwanza,niliwahifika Rombo mwezi January mwaka huu huwezi amini kama uko kijiji kwa kuwa usafiri kwenda moshi na arusha kwa Noah ni mmmmmm bestKilimanjaro nao washatia timu mndeni...
Kuna watu wanataka kuilinganisha Rombo na mambo ya kijinga
Hakuna choo karibu?naona umezidiwa...kula maharage mabichi ni hatari kwa tumbo!Importation ya Wanaume toka Kenya imeisha?
Wewe ki....laza mwulize mama yako kuhusu ni nani hasa babako....akiwa mkweli atakwambia ni mzee SHIRIMA yule mwenye duka hapo jirani.wanaume wa rombo hawana nguvu wanasaidiwa na wakenya
Wilaya ya rombo ni wilaya iliompakani mwa Kenya na Tanzania iliyo na hali ya hewa nzuri huku ikizungukwa na msitu mnene wa mlima kilimanjaro zao kuu la kibiashara ni ndizi na kahawa japo kahawa imepoteza thamani.
Ni wilaya ilio karibu sana na jiji la Nairobi ni takribani masaa matatu au manne hivi kutoka wilaya ya rombo hadi Jiji la nairobi . Wakazi wake wengi hufanya biashara jiji la Nairobi kuliko miji ya Tanzania . Wakazi wake ni wa kipato cha kati sio maskini sana na wala sio matajiri sana . Wilaya ya Rombo ina miundombinu ya barabara nzuri sana.
Wananchi wake wengi wanatumia bidhaa kutoka nchini Kenya kutokana na kukosekana kwa vyombo vya habari vya kutangaza bidhaa za Tanzania Jambo la kusikitisha wilaya hii hamna station ya redio ya Tanzania inayoshika tofauti na Redio maria. Kwa hiyo wakazi wengi wa Rombo wanasikiliza sana station redio za kenya .
Hili limefanya wilaya hii kutojulikana vizuri na watu kutokuwepo na uelewa mpana wa mambo yanayoendelea nchini mwao. Wilaya ya Rombo japokuwa ni wilaya kongwe hapa nchini haina hospitali ya wilaya. Iliopo ni ya kanisa
Njoo sasa kwenye majengo ya mahakama, kituo cha polisi cha wilaya pamoja na Magereza ya wilaya hazina hadhi kabisa ni zaidi ya magofu . Wilaya ya Rombo ni wilaya iliosahulika kama iko Tanzania japokuwa ina wafanyabiashara wakubwa Tanzania na kenya.
Ni vyema serikali ikayatazama hayo niliyodokeza japo matatizo ni mengi sana yalio kwenye wilaya ya Rombo
Mi nilijua baba yake ni Tesha. Basi kumbe mama yake ana wengi... dah!Wewe ki....laza mwulize mama yako kuhusu ni nani hasa babako....akiwa mkweli atakwambia ni mzee SHIRIMA yule mwenye duka hapo jirani.
Na uzuri siku hizi hata vitz unaingia nayo mndeni kiroho safi kabisa...Infwact ni wilaya pekee yenye magari zaidi ya 20 yanayoenda mikoa mwingine kama tanga,dar,moro,singida Dodoma ,arusha na Mwanza,niliwahifika Rombo mwezi January mwaka huu huwezi amini kama uko kijiji kwa kuwa usafiri kwenda moshi na arusha kwa Noah ni mmmmmm best
hadi mndeni na meridianiNa uzuri siku hizi hata vitz unaingia nayo mndeni kiroho safi kabisa...
Wewe tulia usiwe unaongea tuu.hapo chumba cha chini kulia alikuwa anakaa shangazi yangu sister na amefariki mwenzi wasaba Mwaka huu napajua sana hapo ni nyumba ya masister hiyoUkweli Ni Kuwa Shule ina Form I mpaka VI hayo Nadhani ni Mabweni ya Wanafunzi wa High School, Huyo anayesema Ni Ya Masister, Parokia Ina Majengo Murua sana ya Mawe ya Masister Karibu na Jengo Kuu la Kanisa, Na Masister Kiraeni Hawawezi Kuzidi 6 Je Hilo Ghorofa Ni La Masister wangapi? Halafu Masister Wanaishi Kwenye Nyumba za Convent za Pamoja Zenye Majiko, Sebule, Maktaba, Sehemu ya sala etc sio kwenye Hostel!
Wilaya ambayo ipo safi kuliko zote ni Moshi vijijini.ndiko kuna vyuo vikuu zaidi ya 4.vyuo vya ualimu vikubwa Tanzania 3.seminary kubwa 4.shule kubwa za sekondari kubwa sana zipo moshi vijijini.hospitali kibosho hospital sasa na hotel kubwa za kifahari zipo moshi vijijini je rombo kipo kipi hapo jamaniInfwact ni wilaya pekee yenye magari zaidi ya 20 yanayoenda mikoa mwingine kama tanga,dar,moro,singida Dodoma ,arusha na Mwanza,niliwahifika Rombo mwezi January mwaka huu huwezi amini kama uko kijiji kwa kuwa usafiri kwenda moshi na arusha kwa Noah ni mmmmmm best
Unapiga supu ya mbuzi hapo kwa mwarabuBreak ya kwanza ni Hapo Mamsera,
Rombo ni dunia nyingine asee, hawajui pombe nyingi lazima zikatestiwe kule kujua ubora? Na warombo wakiikataa ujue haitouzika asilani