basi ulisikia uongoUmeninukuu tofauti,niliandika ''nasikia'' na sikumanisha ndivyo ilivyo,by the way wakati mwingine jf usiamini kila kitu.
Ngiitereva ung'hendye savadi avae...iyova au mwembe moshi![emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngienda tela kwa maangulwa!!
Je unamkumbuka Pastor Pius Mwiru wa Maximum Miracle centre?
Halafu iwe j3 ukiwaza shule dah..huko nje bimkubwa kashaamka kuwahi misa za asubuhi basi unamsikia anakuhimiza amka uwahi unamuona mchawi kinoma.utoto bwana!Nakumbuka asubuhi saa kumi na mbili KBS lazima waupige ule wimbo '' hata wewe mwenzangu amka kumekucha beba jembe na panga twende shamba'' nilikua nakereka balaa
Usheola choiki lauNgienda tela kwa maangulwa!!
Ngisheola maruaUsheola choiki lau
mkuu umetoka huko mwaka gani?Nakumbuka asubuhi saa kumi na mbili KBS lazima waupige ule wimbo '' hata wewe mwenzangu amka kumekucha beba jembe na panga twende shamba'' nilikua nakereka balaa
mkuu umetoka huko mwaka gani?
Hujawahi kurudi?1990
Umesahau na hospitali ya Karume mkuu hii ndiyo ya wilaya ipo Useri ila suala la radio station za ki Tz ndo shida most of them ni Kenya radio stationsMtoa taarifa acha upotoshaji wewe,Kwamba wilaya haina Hospital ya Wilaya huu ni uongo.Ipo Hospital kubwa na yenye hadhi ya hali ya juu pengine tofauti na Wilaya nyinginezo.Sema tu hospital hiyo ni designated kwa maana ni ya Kanisa na inaendeshwa na Serikali.Kwa kifupi Hospital ipo,tena si moja bali ni Mbili zenye utaratibu huo.(Huruma na Ngoyoni).Vituo vya Afya pia vipo kila Tarafa na vyenye uwezo mzuri.Ukarabati wake umekuwa ukifanyika kila mara.
Mahakama ipo tena imekarabatiwa hivi karibuni,Magereza ipo ya kawaida na yenye hadhi kuliko Magereza mengine kama ya Korogwe,Mwanga na kwingineko,
Kituo cha Polis kipo walau hakipo vizuri sana lakini kinakidhi.
Hivyo utoe taarifa zenye uhakika.usitubabaishe.
Toa sifa pia kama shule kuwepo nyingi,na watu kujituma katika uzalishaji.
Tatizo kubwa ni Maji yasiyo ya uhakika kwa hapa Rombo na hasa wakazi wa tambarare wanataabika sana maji.
Peter kimaniwa kipindi cha neno? sio yule alikuwa anatangaza kipindi chake saa nne na nusu asubuhi KBC?
Bila kusahau, vasheku, vaanga, varimu, veengi, vafuma, varika, valya, vasooka, vadua, vedthema, veikana, vedambukiana, vesengethda besa, na.... haha warombo vandu va levo ingiBila kusahau kuwa kirombo ni kama KIJERUMANI, karibuni kila neno linaanzia na herufi V , vasheku , vashiiki, vaenda, veeshaa vadholya,volkswagen,kiufupi warombo ni wajerumani weusi