Mark Msue
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 2,293
- 12,249
HahahahaaaUsheola choiki lau
No matter how evil money is,but being broke is not holly.
HahahahaaaUsheola choiki lau
Huyu anaongelea Rombo ya Kenya wala si vinginevyoNipo hapa rombo naipata kill fm vizuri kabisa radio one, clouds na nyingne au unaongelea rombo ya wapi??
Ahahahah mwanandie wamarya yoose'piu!Bila kusahau, vasheku, vaanga, varimu, veengi, vafuma, varika, valya, vasooka, vadua, vedthema, veikana, vedambukiana, vesengethda besa, na.... haha warombo vandu va levo ingi
Sent using Jamii Forums mobile app
UMEJIBU VEMA. MIMI ROMBO NIMEKUWA NA NIMESOMA. JAMAA KAPOTOSHA MADA. UMEME TELE, BARABARA TELE, MAJI NI MENGI MPAKA TUNAMWAGILIA NYASI, NYUMBA NZURI, HOSPITALI ZIPO NA ZAHANATI. LABDA NITAJE BAADHI YA HOSPITALI KUBWA HURUMA HOSPITAL, NGOYONI, KARUME HEALTH CENTER, TARAKEA HEALTH CENTER, TARAKEA DISPENSARY, UBETU DISPENSARY NA NYINGINEZO NYINGI. TENA ZINATIBU HATA WAKENYA. ILA KWELI BIDHAA NYINGI TUNATOA KENYA NA MAZAO PIA TUNAPELEKA KENYA. VITUO VYA POLISI NI VINGI NA VIZURI LICHA YA KUWA NI VYA ZAMANI. GEREZA LIPO LA IBUKONI NA NI ZURI SANA. SHULE ZIMEJAA KUANZIA PRIMARY MPAKA SEKONDARI. MAKANISA MAKUBWA KAMA MAHEKALU YA JERUSALEMU. VYAKULA TELE NA MATAJIRI NI WENGI. ARDHI YENYE RUTUBA NA MVUA ZA WASTANI. KUBWA ZAIDI TUPO CHINI YA THE WORLD HITORICAL CENTER(THE KILIMANJARO MOUNTAIN)Rombo imeendelea sana ,yani mm nimetembea sana hapa tz hasa vijijini naweza kukupa ushuhuda kuwa Rombo hakuna hata nyumba yanyasi na kama ipo imeachwa kama kumbukumbu tu ya wanafamilia,sasa Rombo unayoisema wewe ni ya Kenya mana Kenya kuna Rombo pia,tatizo Rombo ni maji hasa ukanda wa mashariki ,ila shule zipo nzuri kuliko hapa dar,pia kila mtaa unapitika tena kwa gari na kila familia kuna njia ya kwenda hm kwa gari,sio dar gari inalazwa ccm
WATU HAWAKIMBII KILIMANJARO. WANATOKA KUEKEZA SEHEMU ZINGINE.Zile zilikuwa agenda ya kupendelea mikoa ya kanda ya ziwa kama hujui, Kilimanjaro ni ya pili wakati watu wanakukimbia?
hivi Gide mama yako alikutambulisha rasmi baba yako wa kweli(biological father ) ? je wajua kuwa anaitwa Othiambo ??Importation ya Wanaume toka Kenya imeisha?
Si kweli. Aliiingia 2010. Kipindi cha pili 2015.Mbunge Joseph Selasini wa CHADEMA tangu 2005.
Turudishieni mtu wetuYule msemaji uchwara wa chadema Ben Saanane ndio kwao huko??
Kenya kuna Rombo?Huyu anaongelea Rombo ya Kenya wala si vinginevyo
NdiyoKenya kuna Rombo?
sijawahi kuisikia, wala kwenye ramani siioniNdiyo
Maeneo yote ulishawahi kuyasikia mkuu? Vingine ni vitongoji.sijawahi kuisikia, wala kwenye ramani siioni
Ndeng'asohii wilaya ina magarimengi yanayofanya safari zake kwenda mikoa mingine nadhani kuliko mikoa mingine yote
mabasi yanafanya safari zake kwenda dar ni kma
- Dar espress
- Tilisho
- Wakati express
- Saibaba
- Longera
- Meridian
- esther express
- wengine ongezeni
Ndio manake Shabiby anabus la kutoka Tarakea Rombo Mpaka Dodoma na Mgamba akaenda mbali zaidi kwa kuweka bus linaloanzia Mwanza-Shinyanga-Singida-Manyara-Arusha-Moshi-Rombo Tarakea kwa sasa hivi root ya Dar-Rombo mabus yapo mengi mno.Arusha me huwa sioni tofauti na Moshi kabisa sababu idadi ya wachagga pale Arusha inazidi idadi ya wachagga waliopo Moshi mpaka Manyara Singida Dodoma kote huko wachagga wametapakaa niliingia visiwani ndani kwenye wilaya fulani ya Buchosa Mwanza nilipigwa na butwaa kuwakuta wachagga huko wanafanya Biashara ya Samaki na dagaa visiwa vyote.
Vave waareku dhau shimbi Kati au maangulwaNgienda tela kwa maangulwa!!
HA HA HA HA Umeuwa baba nilikua nakipenda sana hiki kipindi. Kionjo jina langu ni pastor Pius Muiru wa maximum miracle centre Nairobi