Maajabu ya wilaya ya Rombo-Kilimanjaro

Maajabu ya wilaya ya Rombo-Kilimanjaro

hii wilaya ina magarimengi yanayofanya safari zake kwenda mikoa mingine nadhani kuliko mikoa mingine yote
mabasi yanafanya safari zake kwenda dar ni kma
  1. Dar espress
  2. Tilisho
  3. Wakati express
  4. Saibaba
  5. Longera
  6. Meridian
  7. esther express
  8. wengine ongezeni
Kilimanjaro nao washatia timu mndeni...

Kuna watu wanataka kuilinganisha Rombo na mambo ya kijinga
 
Bila kusahau kuwa kirombo ni kama KIJERUMANI, karibuni kila neno linaanzia na herufi V , vasheku , vashiiki, vaenda, veeshaa vadholya,volkswagen,kiufupi warombo ni wajerumani weusi
Msimu wa Mamaya uneshapita[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mtoa mada usifananishe Rombo na wilaya za ajabu ajabu.....
1. Rombo kwa elimu wamejitahidi sana hadi wazee wa miaka 90 wanajua kusoma na kuandika

2. Umeme upo vijijini tena bila kutegemea mpango wa REA

3. Barabara zinazopitika vizuri

4. Rombo imepangika bila hata kuwepo kwa mipango miji

5. Huduma ya maji safi ilikuwepo tangu miaka ya 90's

6. Ni moja ya wilaya yenye shule nyingi za msingi na sekondari
Huwa najiuliza zile ramani za mipango miji wale wazee wa kichaga walizitoa wapi zamani hizo, yan inashangaza gari inaingia kila nyumba hadi kwenye boma la mbuzi bila usumbufu... wachaga kweli waliendelea mapema kabla hata ya uhuru
 
Kilimanjaro nao washatia timu mndeni...

Kuna watu wanataka kuilinganisha Rombo na mambo ya kijinga
Rombo ni dunia nyingine asee, hawajui pombe nyingi lazima zikatestiwe kule kujua ubora? Na warombo wakiikataa ujue haitouzika asilani
 
Kubusu redio, watu wanapenda kusikiliza radio citizen ya kenya sabubu ina vipindi vizuri sana, na inapiga nyimbo saaana za tanzania
Kweli, inapiga nyimbo ningi za Tanzania na inatangaza kiswahili, KBC ya Kiswahili ila imekuwa ya kizee sana...Citizen kizazi kipya..ila kuna Killi Fm inapasua mawimbi vizuri tu
Kulikuwa na Moshi Fm na Kibo Fm pia
 
Back
Top Bottom