Kn aliyekaa piaWaliolala na waliosimama
Kwan ana nn mkuu mbona kama amevaa gauni refu la njano limetokeza hadi chini ya miguu halafu amejifunika hilo gololeMwangalie vizuri aliyesimama kwenye miba pembeni
bado sijaelewa chochotena mpiga picha, tena kawasha flash huku wenzake wamelala nayo ni maajabuKutokuelewa hii picha yenyewe ni maajabu
ndo maajabu yenyewe hayo...Sijaielewa kabisa hii
Hahaaaah kumbe kutokuelewa ndio ajabu lenyewe.!ndo maajabu yenyewe hayo...
Ha hanawasiwazi sana na wewe mshana.
Hiki nini mkuu