Maajabu ya Tarakimu

Hii nimeipenda kama sio kweli bs hongera kwa ubunifu wa hali ya juu.
 
msilalamike kakosea... ameshasema ni kwa hisani yake, aidha nzuri au mbaya...
 
Paloma, kwani we hujui kuremba mwandiko? Ndio maana wenye mwandiko mzuri uliorembwa wanafaulu kwa sababu mwandiko uliorembwa uko feki, una uwongo mwingi ndani yake.
Sitaki umuulize Boflo maswali mengi.


kumbe basi na mie niitakuwa niifaulu kwa kudangannya!!! maana nilikuw anaremba muandiko balaa! ila kufika chuo sasa..........mhhh
 
all in all Boflo kazi nzuri sana banaa.....big up!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…