Maajabu ya Rangi 3 za msingi

Maajabu ya Rangi 3 za msingi

Taa za LED kwa sasa zimesambaa kika mahali, zimesaidia sana kupunguza matumizi ya umeme majumbani
 
BujiBuji, weusi si rangi bali ni 'hali'. Infact hakuna kitu kama rangi nyeusi hapa duniani, kwanini nasema haya?!

Ili rangi iwe rangi inabidi iwe na uwezo wa kutoa mwanga wa rangi husika, mfano utakuta kuna taa zinazotoa mwanga wa bluu, 'orange', kijani n.k, lakini hatakuta taa inayota mwanga mweusi!

Weusi ni hali ya kushindwa ku-reflect/kuakisi rangi yoyote ile kati ya zile rangi milioni takrian 7 zilizopo kwenye mwanga mweupe, na badala yake huzinyonya rangi hizo zote na kuacha hali ya giza kwenye eneo husika, ambapo wewe umeamua kuita ni 'rangi nyeusi', lakini neno sahihi ni 'hali ya weusi'...!

Kitu cha bluu hunyonya rangi zote zilizo kwenye mwanga mweupe na kuakisi/ku-reflect rangi moja tu ambayo ni rangi ya bluu.., hali kadhalika kwa rangi zingine zote.., lakini vitu vyenye hali ya weusi havina uwezo huo!
Kwa hiyo hamna rangi nyeusi?
 
Kwa hiyo hamna rangi nyeusi?
Umeshawahi kuona taa za mwanga mweusi klabu au popote pale? Weusi si rangi bali ni ukosefu wa rangi. Kila rangi lazima iweze kutoa mwanga wa rangi husika, umeshawahickuona mwanga mweusi?
 
Kuna mahala mtandaoni kama sijasahu youtube niliona ugunduzi wa bulb zinazo zalisha mwanga mweusi! Uzi wa 2015 ila hili ninaloongela nila juzi juzi tu hapa sikutilia maanani sana hiyo clip ila nakumbuka nilisha wahi ona
 
Kitu cheusi kinanyonya mwanga wa rangi zote na kuacha hali ya giza, hivyo hapawezi kuwa na mwanga mweusi, mfano ndani ya chumba chenye giza kabisa pasipo mwanga wowote, ukawasha tochi ya mwanga mweusi, utaona mwanga wowote?
 
Colorless ni nini?
Tofautisha ‘clear’ na ‘colorless’ , maji ni clear , ila kitu kisicho na rangi ni ‘colorless’, although watu hutumia hayo maneno mawili interchangeably kimakosa. Ndio maana maji ya bahari unaweza kuona yakiwa na rangi ya blue, muda mwingine , silver nk.

Kitu ‘clear’ huruhusu mwanga wote kupita, na hivyo utaona kitu kilichombele yake. Kitu ‘Colorless’ hunyonya mwanga wote na kuacha hali ya weusi (giza).
 
Kuna mahala mtandaoni kama sijasahu youtube niliona ugunduzi wa bulb zinazo zalisha mwanga mweusi! Uzi wa 2015 ila hili ninaloongela nila juzi juzi tu hapa sikutilia maanani sana hiyo clip ila nakumbuka nilisha wahi ona
_ Black means absence of light.

_ Color is not a physical entity, its just an illusion (brain made) nikimaanisha hakuna kitu kinachoitwa rangi nje ya ubongo wa mwanadamu.

_ What exists is light, rangi ni kama ishara au namna ambayo ubongo utambua mwanga.

_ Ubongo wa mwanadamu ume-evolve to the point unaweza kutofautisha mwanga unaowasili machoni. And this is mainly for survival.
 
Clear! Na mimi ndivyo ninavyo fahamu, ila huyo mvumbuzi wa bulb ndio kanichanganya
 
Hakuna namna yeyote unayoweza kuongelea rangi bila kuongelea mwanga.

Kwa binadamu rangi ni matokeo au tafsiri ya mwanga, kama ambavyo ubongo hutafsiri sauti.

Tofautisha pigment na light.
 
Back
Top Bottom