Maajabu ya mwenyeezi mungu tsunami

Maajabu ya mwenyeezi mungu tsunami

Kwanini unashindwa kukubaliana na ukweli ata wa picha? Unabisha ili iweje? Wewe unajuaje kama hivo ni vibanda?
Kwa elimu ya bure tu ni kua hiyo sio mara ya kwanza kutokea dunia sawa Mpendasifa?

Ndugu yangu ata usihangaike kubishana nae maana umempa maelezo ya kutosha na hajaelewa na umempa mpaka link bado anabisha tu.....ALOPOTOSHWA NA MUNGU MWANADAM HAWEZ KUMUONGOA
 
Last edited by a moderator:
Sio photoshop hii ilitokea Indonesia ule mwaka wa tsunami

picha.za.tsunami za.indonesia.sijawahi kuona hii picha hapo photoshop imehusika usikatae
hata kama ni kweli kwamfano..hilo jengo la msikiti ni imara kuliko hayo mengine angalia hata mnara wake ulivyo mkubwa..hata kama ingekua.kanisa ama jamatini na lilijengwa imara lingepona tu..si kwamba eti ni wa Mungu kwani.yye ndo alijenga ndugu? misikiti na.makanisa ni majengo tu.kama yalivyo mengine..tofauti inakua pale yanapobeba maana kutokana na wanaoabudu humo..hebu washia.moto kama halitawaka..
 
Hakuna aliyelazimishwa kuamini hapa...tatizo tunatofautiana ki imani. Hata siku 1 kafiri hawezi kukubali kitu cha ki islam hata akiwa anajua ukweli. Ila mwenyezimungu ni muweza wa kila jambo.kwake hakuna linaloshindikana. Kama unabisha hili unamaanisha Mungu hana uwezo hata na kitu kidogo kama hiki...Naudh billah min dhaalika!
 
unaona sasa.,habari ya ukafiri inatoka wapi ndugu?
 
manarkenitimes.blogspot.nl/2010/10/113-500.html?m=1

ni sawa msikiti umepona mbona kuna majengo mengine tu mengi yamepona? hasa maghorofa imara?sema msikii ni kwa vile.ni jengo la ibada lazima kuweka imani fulani hivi Utafiti.:; ni sawa kabisa kuamini Mungu ni mkubwa maana hata kama lingekua kanisa wengine wangeamini wengine wangeponda kama ilivyo hapa kulingan na imani zao.
 
Nyie ndo kawaida yenu kutengeneza pics of that kind ili kuinstill fear kwenye mind za watu waone kuwa dini yenu ni ya kweli. Atuambie hiyo ni nchi gani tutafute evidence za kweli

Hiyo ni kweli ilitokea Indonesia mwaka 2004 wala haina ubishi wala hamna anaetafuta sifa hapo ila ni fact watu zaidi ya laki 2 walipoteza maisha na huo msikiti uliwekwa katika TV nyingi duniani angalia hata YouTube
 
Inabidi sasa jamii zinazoishi sehemu zenye historia ya majanga kama hayo zianze kujenga na kuishi kwenye misikiti.

Lakini kwa nini aprotect majengo halafu aruhusu binadamu asombwe?Does God love buildings than his people?

When the solution of the problem is simple,God is answering--A.Einstein (Hapo lazima msingi WA masjid ulikuwa imara zaidi)
 
Mkuu pokea likes zangu 10000000000 kuna vitu ni simpo sana,unatumia common sense tu.Sasa humu kuna watu wanatumia common senses which are not common
 
Inabidi sasa jamii zinazoishi sehemu zenye historia ya majanga kama hayo zianze kujenga na kuishi kwenye misikiti.

Lakini kwa nini aprotect majengo halafu aruhusu binadamu asombwe?Does God love buildings than his people?

When the solution of the problem is simple,God is answering--A.Einstein (Hapo lazima msingi WA masjid ulikuwa imara zaidi)

nimeipenda hii..inawezekana ilisombwa na misikiti mingine ambayo misingi yake.haikua imara
 
Hiyo ni kweli ilitokea Indonesia mwaka 2004 wala haina ubishi wala hamna anaetafuta sifa hapo ila ni fact watu zaidi ya laki 2 walipoteza maisha na huo msikiti uliwekwa katika TV nyingi duniani angalia hata YouTube

Kwa mungu wenu msikiti ni bora zaidi kuliko watu laki mbili, au wote walikuwa makafiri?...nauliza tu!
 
Majengo yaliozunguka msikit sio imara.
Huitaji kuwa injinia kujua hili.

Mungu sio wa kumtajataja kila sehemu na kuchambuliwa na vijiwe vya wacheza Ngoma.
 
Kwa mungu wenu msikiti ni bora zaidi kuliko watu laki mbili, au wote walikuwa makafiri?...nauliza tu!

Haya yanakutoka ni chuki binafsi au, maana mleta mada ameonesha yaliyotokea Indonesia na kufa kwa watu ni kwa ajili ya tsunami. Mimi siwezi kubishana kwa jazba ila nakujulisha tu kuwa Sio lazima watu wakifa na majengo yote yaanguke (hiyo ni fikra yako) siwezi kujua kama kuna matukio yoyote ya ajabu yamewahi kukutokea, the older you get the more you will see buddy.
 
Ahsante sana kwa kukubali kuwa sio lazima majengo yote yaanguke
 
Katika hali ya kawaida hayo majengo yanayozunguka msikiti yalikuwa ndo ngao ya kuukinga msikiti na ni lazima yangezolewa na maji yanapoufikia msikiti yanakuwa yamepungua nguvu, pia msikiti unaonekana ni imara kuliko hayo majengo around, It's a good thing though kwamba msikiti uli survive kwani hata thamani yake kwa maana ya gharama za ujenzi wake zinaonekana ni kubwa far beyond gharama za huto tu surrounding builidings.
 
Ahsante sana kwa kukubali kuwa sio lazima majengo yote yaanguke

Maajabu duniani yanatokea na haina haja ya kubishana pasipo uelewa wa kutosha matukio kama haya ni nadra kutokea ni kumshukuru Mungu kwa kila kitu. Kwani yeye ndio anaejua zaidi.
 
Maajabu duniani yanatokea na haina haja ya kubishana pasipo uelewa wa kutosha matukio kama haya ni nadra kutokea ni kumshukuru Mungu kwa kila kitu. Kwani yeye ndio anaejua zaidi.

Hii kitaalamu inaitwa hivi...mwili wa tembo lakini ubongo wa mende
 
jua huzunguka dunia kila siku asb na jioni usiku hupumzika ktk tope,tena jua na mwezi ni marafiki wakubwa huongea na kusalimiana LOL!simple science hayo majengo yaliopo pembeni lazima yali act kama "guards" ya mawimbi

[video=youtube_share;HONF5YsqdUs]http://youtu.be/HONF5YsqdUs[/video]
 
Hao wa kwenye hizo nyumba Si ndio walikuwa wanasali humo na watoto Si ndio walikuwa wanasoma kwenye hizo shule na hao wazazi Si walikuwa wanafanya kazi kwenye viwanda mahali hapo je wao na kujitoa kwao Sio bora hata yakawapata hayo nakubaki hilo jengo tu ambalo siku moja halitakuwapo nadhani Sio vema kumtazama Mungu kwa mtazamo huo Kama picha hii ni kweli basi tuwaombee wahanga wapate nafuu na Sio kuangalia Kama maajabu siku moja yaweza kuwa kwako na utaumia na kumwambia kama ameweza kuliokoa jengo kwa nini hajamuokoa mwanao mdogo sna au mkeo .Mungu ni wa huruma sana .
 
Back
Top Bottom