Maajabu ya mwenyeezi mungu tsunami

Maajabu ya mwenyeezi mungu tsunami

Nyie ndo kawaida yenu kutengeneza pics of that kind ili kuinstill fear kwenye mind za watu waone kuwa dini yenu ni ya kweli. Atuambie hiyo ni nchi gani tutafute evidence za kweli

Tuheshimiane we bumunda mi mwenyewe nimeuliza tu na si kwamba ni muislam ilitakiwa anijibu alieweka picha na si wewe badala yake unaanza kuleta ishu za udini senzy sana.
 
kwa hiyo tetemeko/tsunami ikija tukimbilie nyumba za iBADA?
 
Mmmhhhhhh kumbe huo ni msikitiii sikujuaaa!!!
 
Sasa msikiti una madilisha mapana na kuko wazi na jengo lilikuwa refu maji yakajaa ndani na kutoka kwa uwazi uliyo kuwepo.
 
Sio photoshop hii ilitokea Indonesia ule mwaka wa tsunami

Ni kweli Disemba mwaka 2006. Ila nadhani ni kwa sababu structurally labda msikiti ulijengwa kimadhubuti zaidi kuliko nyumba zilizokuweko katika eneo hilo.
 
Nyie ndo kawaida yenu kutengeneza pics of that kind ili kuinstill fear kwenye mind za watu waone kuwa dini yenu ni ya kweli. Atuambie hiyo ni nchi gani tutafute evidence za kweli

Hulazimishwi ndugu yangu na wala hakuna "sale" bali ni kwa wenye kujua thamani!
 
Back
Top Bottom