Maajabu ya Mwanamke

Maajabu ya Mwanamke

Ila na sisi wanaume tukiamuaga kuwanyoosha mbona wanapiga saluti...
 
Mnajitia uchizi kumjadili mwanamke kama hamjui tunakufa coz of who???
 
Hawa dawa yao ni udikteta tu!, ukitumia diplomasia wanakuona wakuja.
 
Ajabu jingine la mwanamke limetokea leo!

Kwamba siri ya Rais Mwinyi kuishi miaka mingi ni kuoa wanawake wengi!! JPM katoboa siri hiyo leo
 
Hao unaowaita dhaifu ni Strong kwa Vijana wasasa
 
Ni viumbe ambao mpaka katika umri huu nilionao, sijawahi kuwaelewa!
 
mpaka Mungu akaonya kwa kusema "enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu" inamaana apo alikujulisha kua mwanamke ni bright kuliko wewe mwanaume.
 
mpaka Mungu akaonya kwa kusema "enyi wanaume ishini kwa akili na wake zenu" inamaana apo alikujulisha kua mwanamke ni bright kuliko wewe mwanaume.
God made a woman from a crooked rib, if a man tries to straighten it he surely breaks it
 
Tangu lini umeanza kuwa msemaji wa Mungu, he was watching me since I was born and he'll keep on watching me till the day I die... you know why..... mimi ni sura na mfano wa Mungu as he said.... I resemble him.... when you see me you see God.... (tutapishana tafsiri tuu ya haya maneno ila ndivyo ilivyo, bisha hadi lyamba .......teh)

Hapo kwenye red unatilisha huruma, yaani umechanganyikiwa na wanawake hadi unachapia maneno hata huelewi unaandika nini masikini..... poyee toto....😀😀😀

Halafu, shauri langu nilishakupa uhangaike nalo lakini huachi lirudia....

Usiku mwema....


Wewe mwanamke mbona unakuwa mbishi hivi... khaaa...
 
Ni kiumbe dhaifu km tulivyokalilishwa, ila kiuharithia Mwanamke si kiumbe dhaifu
Ngosha. Uko Dar sasa. Au unasubiri mpaka ukutane na mama Kifimbocheza Faiza Foxy ndo ujifunze lugha sahihi?

=> Tulivyokalilishwa = tulivyokaririshwa (Hapa nimekuelewa kwa sababu Kisukuma hakina r)

=> Kiuharithia = kiuhalisia (Hapa sijakuelewa kwa sababu Kisukuma hakina th. Umeitoa wapi mpaka kufikia steji ya kuitumia hata mahali isipotakiwa?)
 
Back
Top Bottom