Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,801
- 43,177
Ulikuwa na adabu mpaka nikaogopa, labda kuna njama ushapanga... next time tena...
Hahahahhaa stay tuned.....Ukishashiba ya Kasie unapatiwa desert ya karanga na asali ushindwe mwenyewe.......
Ulikuwa na adabu mpaka nikaogopa, labda kuna njama ushapanga... next time tena...
Hahahahhaa stay tuned.....Ukishashiba ya Kasie unapatiwa desert ya karanga na asali ushindwe mwenyewe.......
Hii thread inazungumzia maajabu ya wanawake, sasa wewe mbona hujafanya majaabu, badala yake ukafanya mazuri...
Mwanamke ukimpa mambo matamu atakufanyia mzuri tuu maana mioyo yetu huwa imejaa mambo mazuri. Ila ukimtibua akili na kuumiza moyo wake ndo utayaona maajabu yake.
Sasa mie naanzaje kukufanyia mabaya kwa mautamu ya karambezi pale hadi mchana wa leo. ..
Hahaha ni kweli... Ila mimi naweza kukufanyia mabaya... just watch me and see...
Kasie is more bad than you are..... you spoil her better spoil yourself than wait to be vanished by her..... that's her just be informed.
You can never be bad than me... u know yourself i am... i mean, evil even the devil fears me...
Msukuma ,ndugu yangu Kiswahili ulichoandika sijui ni cha kabila gani maana umechapia barabara.Ulitakiwa uandike 'tulivyokaririshwa'na sio tulivyokalilishwa,Ni kiumbe dhaifu km tulivyokalilishawa, ila kiuharithia Mwanamke sio kiumbe dhaifu,Ni kiumbe hatari Sana,hakuna aliyewai kumuelewa kiumbe huyu,hata wao kwa wao hawaelewanagi..
Hana sauti ya simba,hana nguvu za kupigana,ila anauwezo wa kumuadhibu yeyote,au kwa kumtumia mwanaume,au yeye km yeye kukunyoosha na ukanyooka..
Penye wanaume 10,Ni wanaume wawili pekee ndio wanauwezo wa kupingana na akisemacho mwanamke,na Kati ya hao wawili Ni mmoja pekee ndio anauwezo wa kupingana ana kwa ana na kiumbe huyuu, uyu mwinge atakataa kwa meseji..
We jiulize kwanini Mama Clinton alishinda kura za wote,ila akashindwa kwenye kura za wajumbe..
Habari wana MMU..
Ni kiumbe dhaifu km tulivyokalilishawa, ila kiuharithia Mwanamke sio kiumbe dhaifu,Ni kiumbe hatari Sana,hakuna aliyewai kumuelewa kiumbe huyu,hata wao kwa wao hawaelewanagi..
Hana sauti ya simba,hana nguvu za kupigana,ila anauwezo wa kumuadhibu yeyote,au kwa kumtumia mwanaume,au yeye km yeye kukunyoosha na ukanyooka..
Penye wanaume 10,Ni wanaume wawili pekee ndio wanauwezo wa kupingana na akisemacho mwanamke,na Kati ya hao wawili Ni mmoja pekee ndio anauwezo wa kupingana ana kwa ana na kiumbe huyuu, uyu mwinge atakataa kwa meseji..
We jiulize kwanini Mama Clinton alishinda kura za wote,ila akashindwa kwenye kura za wajumbe..
Habari wana MMU..
You are not scaring me at all......
You just scare others out there....
If you are a devil yourself I am the one who raise the devil..... who's bad there......
Unajua nikisema shauri yako what i mean...
Hahahahahahaaa Ooukeeey you win.....
Basi umefurahiii heheheh
Hakuna kukubali kurahisi hivi...
Walimu WA kiswahili JF mnakera Sana,sasa jamani km mnajua kiswahili SI mkafungue tution tuna tena 'ni kiuhalisia' na sio kiuhathia,tena hakuna 'aliewahi'na sio aliewai,pia Sio 'hawaelewanagi' bali hawaelewani,na mwisho sio 'uyu' bali ni huyu.
Msukuma ,ndugu yangu Kiswahili ulichoandika sijui ni cha kabila gani maana umechapia barabara.Ulitakiwa uandike 'tulivyokaririshwa'na sio tulivyokalilishwa,