Maajabu ya Mwanamke

Maajabu ya Mwanamke

Ngosha. Uko Dar sasa. Au unasubiri mpaka ukutane na mama Kifimbocheza Faiza Foxy ndo ujifunze lugha sahihi?

=> Tulivyokalilishwa = tulivyokaririshwa (Hapa nimekuelewa kwa sababu Kisukuma hakina r)

=> Kiuharithia = kiuhalisia (Hapa sijakuelewa kwa sababu Kisukuma hakina th. Umeitoa wapi mpaka kufikia steji ya kuitumia hata mahali isipotakiwa?)
 
Hahahah.. Aisee
 
kweli na laiti wangepata nafasi za juu katika uongozi ndo tutajua kwanini visu,mapanga vinakata lakini havina madiwani
*mwanamke akiongea kauli au akiomba kitu kwa dume, kuchomoa no nadra coz vitendo pale vinahusika....
 
Ulichomeka au ulisukumia ikakataa kuingia hata useme mbishi? Tulia dogo acha papara wakubwa zako wanasimamia kwato.
Wewe katoto ka juzi tu hapa... unabadilishwa pampers nakuona leo unajiona umekua..
 
Hhehehehehee poleeee..... poyee totoooo, nikirudi nikuletee nini...... bikutiii na shkilimu eeehhh hehehehehhee bashiii nyamaza totoo ushilieeeh .... umeshkia toto juli eeehhh hahahahahahahahahaaaaaa (nduuukiiiiiiii............)
 
Unajifanya kunibembeleza ili nikusamehe... hakuna hapa.. na utajuta...
 
Acha tu Mkuu hata yeye mwenyewe hawaelewi.. Ndo Maana katuambia tuishi nao kwa akili...
Co kweli,anawajua barabara ndio maana akatutahadharisha sisi tusiojua A wala Ba juu yao!
Praise to Almighty Creator of earth and everything in it.
 
Unajifanya kunibembeleza ili nikusamehe... hakuna hapa.. na utajuta...

Hahahahahahhaaa kooonyoooo weeh nani akibembeleze Kasie huyo... hehee una hamu ya kubembelezwa eeh....
 
Ewe mwanaumme kuwa makini na huyo kiumbe mwanamke...

1:Alimuua Samson

2:Alimuua Uria

3:Alimwangusha Daudi

4:Alimuua Amnon

5:Alimuua Absalom

6:Alimuua Naboth

7:Alimuua John the baptist

8:Alimdanganya Yacob (Israel)

9:Alikula tunda (Eden)

10:Alitufanya hadi leo tule kwa JASHO..

Ref :- HOLY BIBLE
Alimuua kanumba
 
Hahahahahahhaaa kooonyoooo weeh nani akibembeleze Kasie huyo... hehee una hamu ya kubembelezwa eeh....

Ujanaja wako wote ni hapa tu, lakini face to face unajibebisha sana...
 
Poleeeee...... maskini una hamu ya face to face eeehhh...... usjali, utawala mpya ukiinia madarakani itapatikana nafasi ya face to face. Kwa sasa endelea tuu kupiga maki taimu....😀😀😀
 
Utofaut kati ya mwanamke na mwanaume tofauti na maumbile ni kwamba ubongo wake unatoa umeme muda wte ule,,,na sifa kuu wamekosa kujiamin kwa kila jambo,,sekta pekee inayowatesa ni kutokujiamin ndio maana anaweza sindikizwa dukan usiku na mtoto wa miaka minne wakat yeye ana miaka 30
Daaaahhhh sawaaaaaaa mkuu!
 
Poleeeee...... maskini una hamu ya face to face eeehhh...... usjali, utawala mpya ukiinia madarakani itapatikana nafasi ya face to face. Kwa sasa endelea tuu kupiga maki taimu....😀😀😀

Face to face na wewe... No way... why waste my time...
 
Back
Top Bottom